Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Alafu mbona Balozi Mulamula kaegemea sana upande wa Baiden kuliko upande wa Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie!!??Ikumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
View attachment 2375504
View attachment 2375505
Hii ni title research au ni conclusion ya researchViongozi wengi wa Kiafrika hupenda kufanya kazi na wale wasaidizi wenye akili za kichawa! Ukiwa ni mtu smart na usiyependa uswahili na ubabaishaji, wanakuona snitch.
Kitu ambacho ni kibaya sana kwasababu hawapati mawazo kinzani.Viongozi wengi wa Kiafrika hupenda kufanya kazi na wale wasaidizi wenye akili za kichawa! Ukiwa ni mtu smart na usiyependa uswahili na ubabaishaji, wanakuona snitch.
wabongo wengi tuna wivu na kijicho(husuda/husda)Tatizo ni kupiga picha na Biden? Ila kiAfrrika hilo ni kosa
Do not outshine your boss hahahahaaaaaHii ni title research au ni conclusion ya research
Watu wengi wanaongelea hili ingawa inajulikana kabisa kuwa "do not outshine your boss"
Haipo hata alipokaa US kwa muda mrefu kwenye Royal Tour hakukutana naokwa hiyo Samaya hakupiga picha na Biden pamoja na mkewe!? ila waziri alipiga nao picha!?
mwenye picha ya Samaya,Biden na mkewe ailete.
The Biden - Mulamula - Jill picture speaks volumesIkumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania...
wivu, kijicho na husda unawasumbua Watanzania.Haipo hata alipokaa US kwa muda mrefu kwenye Royal Tour hakukutana nao