The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kuwa kwake successful inanisaidia nini mimi?Ni kawaida ya wicked people to celebrate the down fall of successful people.
Aya ya kwanza tofautisha uraia na permanent residency. Nchi yetu haina uraia pachaIkumbukwe, hata Hayati alimtema huyo mtu baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
View attachment 2375504
View attachment 2375505
Tuletee uzi wake mkuuHuyu mama alimtusi Magufuli sana
Malipo ni hapa hapa
Pamoja na yote exposure aliyonayo wewe na ukoo wako hamna.Kuwa kwake successful inanisaidia nini mimi?
Keshaliwa kichwa huyo Kwa utovu wa nidhamu, endeleeni kuomboleza.
mentol slaveKila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile.
Tangu lini viongozi Tanzania au Africa wanachaguliwa kwa IQ zao. Otherwise, akina Jaffo au Msukuma wasingekuwa hapo walipoSasa huyo Kairuki aliye feli Wizara zote ana IQ gani ktk TAMISEMI??