Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Mke wa mtu hana alama. Anaweza kukudanganya lakini mwenyewe akili timamu akishagundua ni mke wa mtu huacha kutembea naye. Utakuta mtu anajua kuwa yule ni mke wa mtu lakini anatembea naye. Hiyo ni mbaya sana
 
sasa huono utaumiza watu,maana kuna wanawake wwngine anakwambia mm si mke wa mtu au tumeachana au vile hawi muwazi;baharia unajiachia ngoma tunduni mzigo D unang'ang'ania.
Uasi na roho mbaya ilianza pale binadamu alivyoacha kufuata amri za Mungu na kuanza kufuata matendo yanayompendeza yeye. Ukishafikisha umri wa miaka 18 unaruhusiwa kuoa ila haujaruhusiwa uanze kufanya uzinzi. Ndiyo maana kuna ndoa ili mtu akishindwa kujizuia aoe au aolewe.
Kama vile wewe ambavyo hujui kuwa yule ni mke wa mtu na mimi ndiyo vile sijui ni nani itampata hiyo dawa.
 
Story ni ndefu but in short...yupo jamaa flan alikuwa anamsumbua dem wangu kwa muda mrefu na nilimkanya sana ila siku moja nikabaini ametembea na dem wang na kwa bahati mbaya au nzuri jamaa alikuwa kaoa na mke wake aligundua.. Nikachukua muda kidogo siku moja nikakuta mke wa jamaa anachat na dem wanguu na wanajibizana na mimi apo apo nikachukua namba ya huyo mke wa jamaa nikamtafuta tukawasiliana kwa muda kama mwezi badae mke wa jamaa alibadilika na akawa anaforce tuonane sana aise nilijikuta nakula kila ninapohitaji na muda mwingine ananisumbua yeye kibaya zaidi alikuwa na mtoto mdogo tuu.....ila mpaka sasa sijui dem wangu nimfanye nin na yule jamaa nilimfata na kumchana na ushahidi nikampa aise aliumia nahisi hakuamini kua ukiua kwa upanga unakufa kwa upanga...ombi langu kwenu je uyu demu wangu nimfanyie nin??
 
Mkuu unaonekana kuwa na machungu sana, ututambulishe tu shemej mana kuwa hanithi umri huu hata miaka 30 badoo ni sawa na kuondoka kwenye sherehe ya usiku ya kukesha saa 3 usiku
 
Mkuu naomba utusimulie kisa chako mana inaonekana una jambo tena sio dogoo


Na unaonekana upo serious kuna siku kisamvu cha mtu kitaendaa hivi hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaaa hii hatarii
 
Kapìme kisha majibu vyovyote yatakavyokuwa waambie huyataki. Wayatumie kwa shughuli za takwimu.
Yanii mkuu achaa kabsaa, mwaka huu nipo na demu wang kwenye mkesha wa mwenge, akanikomalia tukapime, basi kishingo upandee nikaenda kufika banda la kupimia tukaambiwa washafunga ilikuwa sa 5 iv ucku, nilifurah utafikir nishapimaa tayar [emoji1787]
 
W
Wa vyuo vingine wanaanza tarehe 21,saa hz kama demu wako kaaga anaenda kufuatilia vitu flani chuoni,jua atapewa kampani na msela,watalala wote hadi wamalize pepa,na ikiwezekana watashauriana wapange rum kama ni continuing students.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mgongo wake ulinichanganya,kumtupia ndoana akawa mkali lkn nikakomaa naye mpaka akakubali yaishe akaliwa,nilimpiga chini baada ya kuniambia nimle ndogo,bado kidogo nimuitie polisi wamkamate.
Nalog off
Volume haitoshi ongeza kdgoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwezi uliopita nilikuwa mwanza katika matembezi nikakutana na mmama anatembeza karanga za kuchemsha alikuwa ni mjaluo ana mzigo sanchoka akasome afu mweusi,nilimpita nikampa salamu ila nilipofika mbele ikabidi nigeuke alipofika mbali kidogo nilirudi nikaanza mfatilia nyuma nyuma kuanzia mitaa ya Ghana hadi karibu na nera zilipo ofisi za halmashauri,wakazi wa mwanza watakuwa wanapafahamu. Nilipomfikia nikaanza kuzuga na stori na hakuonesha kushoboka wala nini, ikabidi niingie na gia ya kununua karanga zote.kufupisha stori alinipa namba kwa sharti la kutompigia kuanzia saa 12 jioni kwani mumewe anakuwepo. Kesho yake nilimpanga tukaonana mitaa ya kilimahewa akaingia gesti na karanga zake nikala mzigo.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Msamehee tu, na ww si ushakula mke wa jamaa
 
Mh mkuu wanyaturu,wanyeramba,warangi na wamanyara hawa wagawaji sana.
Yani ukioa hayo makabila jua umeolea kijiji ama mtaa.
ongeza wahaya, wanyamwezi, waruguru, wabende, wakonongo, wangoni.

kuna toto la kirangi jeupeee tamu hilo nilikua nalimezea mate kuja kuuliza majirani zaidi ya 6 wamelivua chupi. nkachoka zaid baada ya kufahamu kuna watoto flani wametia magovinda yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…