Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Hahahaha
 
Hawaja kuotea wotee hao wenye wake zaoo mkuu?

Nina experience yakutosha kwenye Ubaharia mkuu. married women ni watam sana lakini pia umakini mkubwa unahitajika kama vile kwa wanafunzi wa shule pia umakini mkubwa unahitajika ukikosea step mara jela imekuhusu.
 
Huna kazi za kufanya? Mpaka mwanaume mzima upaparike kuiwekea ulinzi k..uma.
Tafuta hela kijana.
 
Mkuu wanawake sio wa kuwaamini utakuja kuumia moyo bure we mchukulie poa tu usimlinde sana kama kutafunwa atatafunwa tu kuna watu wana mbinu za kutongoza hatari
 
[emoji28][emoji28]mi nilimla mwalimu wangu nivokuwa advanced
Wewe ishu zetu zimefanana.

Ukiweka mtiririko ilivyo kwenda kwenda hadi ukamwangusha, nami nitakuwekea ilivyokuwa.

Tena mimi alinidhuru kisaikolojia kipindi ananifundisha kuandika, nikabaki nalo moyoni.

'Nilivyoota mbawa' nikaona nianze naye tena kwa 'shikamoo'.
 
Huna kazi za kufanya? Mpaka mwanaume mzima upaparike kuiwekea ulinzi k..uma.
Tafuta hela kijana.
Hela zinatafutwa kila siku. Hata huyo mwenye jina lako anatafuta hela kila siku japo anautajiri wa kutisha ila maskini ndiyo utawasikia "tafuta hela kijana" japokuwa kila siku ni maskini. Kama wewe unatafuta hela mbona sijakuona kwenye orodha ya watu matajiri Tanzaniai?
 
Naye alikuwa anakutaka pia.

Kama hauelewi jinsi wanawake wanavyotongoza wanaume, unaweza ukadhania alikuomba hela kweli!

Wengine mbinu wanazozitumia ni kukukopa hela, tena hela yenyewe kubwa ili u 'pay attention' wakati anakuzungusha kukulipa.

Eti alikuomba hela! Mwanamke manjiani from no where akuombe hela!
Huo ulikuwa ni mtego baba na ulinasa, wanawakw wana akili sana.
 
[emoji23][emoji23] Ni kweli maana baada ya hapo nilikuwa najilia tu. Yaani muda mwingine nimetulia tu home unashangaa nagongewa hodi.
 
Sasa Wewe unakuaje na uhakika na tabia za wengine hata utoe hukumu?
Kwani hawajulikani hao wanyaturu??
Nimetembea mikoa ya Manyara,Kondoa na Singida nawafaham fikka km ni watu wa kujirahisisha??
Unaulizaje bikra kwa malaya??
Mtu kwa kiasi kikubwa hutambulika kwa tabia ama hurka zake.
Hao makabila ndio hurka zao.
 
Kwani hawajulikani hao wanyaturu??
Nimetembea mikoa ya Manyara,Kondoa na Singida nawafaham fikka km ni watu wa kujirahisisha??
Unaulizaje bikra kwa malaya??
Mtu kwa kiasi kikubwa hutambulika kwa tabia ama hurka zake.
Hao makabila ndio hurka zao.
mkuu sehemu gani hasa na mimi niende
 
kivipi
 
Mke wa mtu gonga mara moja au mbili lala mbele ukiweka kambi utaumia
 
Mkuu kwani wewe ni ngebo pia? Maana nilitaka adadavue jinsi alivyomuanza kumuimbisha mwalimu wake na kisha kupata alichokitaka.

Simulizi inaanza hivi, ingawa ni ndefu: Huyo mwalimu ndiye alinifundisha kuandika nikiwa darasa la kwanza.
Nimezaliwa 'mashoto', wakati naanza kujifunza kuandika nilikuwa natumia mkono wa kushoto.

Enzi hizo tulianza kujifunza kuandika kwa kuchora chini, mkitoka hapo mnapewa tablet za mbao na chaki na mkitoka hatua hiyo, mnaanza kutumia karatasi zenye line pana mchanganyiko na nyembamba pamoja na penseli maalumu zenye mrija mpana.

Kuhangaika kote huko, kuanzia kuchora chini, kuandikia ubao akawa ananipa tu ushirikiano na shoto langu.

Tulipofika hatua yakuanza kuandikia karatasi, akanigeuka kidhalilishaji.

Siku1 wakati nahangaika kuandika alikuja akanifinya kitoto, yaani mashavu yote kwa mikono miwili, akani'hook' juu kwa kutumia mashavu aliyonifinya kisha akanikita na konzi zito la adabu na kusindikiza kwa maneno...'nije nikuone tena unaandikia huo mkono wako wa mavi utaniona'...dah!

Ebanaeeh, alinivuruga kisaikolojia na kuanza kujilazimisha kuandikia mkono wa kulia, kifupi alinirudisha nyuma!

Kiukweli alinikomesha, maana nilijilazimisha hivohivo hadi nikazoea lakini mwandiko wangu sasa, ni mbovu hadi leo.

Moyoni halikunitoka hilo tendo na kupanga kwamba nitakapokuwa mkubwa na mimi atanikoma, hayo yalikuwa ni maneno tu ya ghadhabu, lakini sikujua nitamkomeshaje.

Mawazo hayo yalikuwa kama sala vile, maana nilipo maliza masomo na kupata kazi, tulikuja kukutana naye nishakuwa mkubwa nikamtongoza bila yeye kunifahamu background ya ninayemtongoza.

Alijikakamua kunibeza kwamba mi ni mdogo sana kwake, kwa nini namueleza upuuzi kama huo, maana nilianza kwa kumuamkia ....' shikamoo damkubwa'...

Nikakazia maneno yangu, kisha tukaishia kuwa wapenzi.

Nilichokuja kukigundua ni kwamba penzi kwa ajili ya kulipa kisasi ni tamu sana kuliko penzi la kawaida na usipokuwa makini linaweza kuvurugia 'future' zako.
 
Yaani wewe kiboko
 

Attachments

  • Enzi hizo.jpg
    37.2 KB · Views: 14
Wanawake hawana formular kwani wapo ambao wanapewa mema yote ya nchi lakini bado wanachepuka tu. Kama mwanaume nasaka hela ili familia yangu ipate maisha bora,kama mwanamke hathamini jasho na damu yangu kwenye mishe ni kupiga chini tu.
 
Duh! Ww jamaa hatar lakn wewe hujawahi kumla mke wamtu?
Acha roho mbaya cha mtu huliwa na mtu..

Ila umeniogofya aisee!! Ila ukinifanyia hvyo mm lazma nilipize tu hata kwa kuteka na kukupoteza kabisa
Chamtu huliwa na mtu, chuma ndio huliwa na kutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…