Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

Nilisha mla mke wa jamaa mpangaji mwenzangu. Mke wa jamaa dizain alinielewa muhuni sinaga maneno mengi .alianza kuonesha dalili flani iv za kunitaka kila akienda dukan akirud hata na pipi lazima anigongee anipe moja. Nikahofia nisije kutia maneno kumbe yeye anachukulia ubest tuu nikaharibu hali ya hewa . Nakumbuka mara ya kwanza kumla ilikua asubuh kaja kama kawaida anaazima brash akaoshee viatu vya mmewe nikamtania tuu karibu ndani leo na hamu kwel ya kumkumbatia mtu akaguna akaniuliza kukumbatia tuu nikamwambia huo unaeza kuwa funguo ya kufungulia mambo matamu zaid akacheka akataka anikumbatie pale aondoke nikam enjoy anaeza akarud ghafla mme wake akaingia kwel kanikumbatia tuu nikambusu shingon na kuanza kuinyonya nikaona mtu aniachii nimkumbatie tena upande wa pili nikapandisha ulimi sikion nilisikia miguno mtu akanilalia kabisa kifuani nikajua nimefungua ghala lake la ashki kilicho fuata kinajulikana. Ila sasa akawa anakuja speed had najistukia akipata mda tuu anakuja na ninavyo eshimiana na mmewe ikabid nihame tuu kabla kodi haijaisha.
 
Binafsi mwaka jana mwez wa pili walikuja walimu wa field shulen, sasa kwenye kuangalia namna ya kusajili mali mpya nikaona kifaa kimoja cha kinyaturu, mtoto mkali kweli kweli, nikatupia voko akajaa, akawa anakuja geto anapika tunakula nae aliwa nikawa kama nimeoaa kabsaa

Baada ya kama miez miwil nikagundua alikuwa mke wa OCS kituo fulani na alikuwa na mtoto mmoja wa miaka miwili, nilistuka nikapiga chini fasta japo demu alijifanya kupandisha mpaka maruaniii.
Daa mpaka leo naogopa kupima umeme maana tabia za askari..
Weupe tu hawana majabu kitandani mi nawamegea Sana tu.
 
Mimi kuna binti mmoja wa kipare hana hata miezi mitatu kwa ndoa ila kanitunuku kisa mume yuko mbali nawasihi wanaume wenzangu hawa wake zenu waliohamia huku dodoma ni wepesi mno njoeni muwaokoe
Hawakatai hata hasa kwa sisi wamasai.
 
Asa hiv haujui km umefanya kazi bure??
Kama mwanamke ama mke wako alikusaliti na mtu flani ukamfanyia umafia jua yule mtu sio kosa lake kwasababu ukute jamaa hakuwa anajua km mkeo ameolewa km anavyoeleza mleta thread.
Na pia km mkeo anajijua yeye ni mke wa mtu mpk akakusaliti basi jua ya kwamba atakusaliti tena na tena na sijui wanaume wangapi utawapaka KY uwalawiti kulipiza kisasi.
Siku hiz ndoa wala mapenzi hakuna kidoogoo ukaoe asia.
Lakini bongo hii wewe oa ili upate mtu wa kukuzalia warithi wako ila sio kwa dhumuni la mapenzi nyooooo hakuna.
Kaka unatwanga maji kwa kinu.
Naona umeshituka na kuumia sana. Huyo ni mke wangu, subiri siku akiwa siyo mke wangu ndiyo agongwe. Kwani mimi nilijua kama kuna mtu anatembea na mke wangu? Kwani kibaka anapokamatwa ameiba bata kwanini wanamchoma moto? Hiyo siyo ya kulipiza kisasi ni matibabu na haulazimishwi. Kama unataka kuendelea kuwa hanithi mimi wala hainihusu ila ukitaka tiba njoo nikufanyie tiba kwa roho safi kabisa. Unakula mke wa mtu halafu unaogopa kuliwa.
CHA MTU MAVI
 
Avatar yako imenikumbusha mbali sana! Enzi za D generation X. Enzi za Triple H na S. Michael...
Are you ready? di di di
Mimi ni moja wa shabiki mzuri sana wa mieleka. Kipindi kile DX inabifu na The Legacy (Randy Orton, Tedd na Code). Hii bifu naikumbuka sana
 
Hahaah kaka mm nimetoa wazo tu kaka.
Kwasababu wizi unajulikana haufai na unapochukua mali ya mtu yeyote pasi ridhaa yake huo ni wizi huyo kupigwa kibiriti sawa.
Ila huwenda mkeo ndiye aliyemtongoza jamaa na akamdanganya yuko single je tatizo jamaa au mkeo?
Na kaka ukisema ufanye hvyo mkeo atakusaliti tu kwa mwingine huoni hiyo ni tabu???
Mapenzi haya acha tu.
Ila sawa mkuu kila mtu na mtizamo wake.
Maana ww mtizamo wako upo hivyo ila kwa mm namuacha mke na kumruhusu aende kwa huyo aliyenisaliti kwaye maana huwenda siku akaja nitilia sumu awe na mwingine bure.

Ila daaah we mkuda kichizi kaka hahahahahahah.
Naona umeshituka na kuumia sana. Huyo ni mke wangu, subiri siku akiwa siyo mke wangu ndiyo agongwe. Kwani mimi nilijua kama kuna mtu anatembea na mke wangu? Kwani kibaka anapokamatwa ameiba bata kwanini wanamchoma moto? Hiyo siyo ya kulipiza kisasi ni matibabu na haulazimishwi. Kama unataka kuendelea kuwa hanithi mimi wala hainihusu ila ukitaka tiba njoo nikufanyie tiba kwa roho safi kabisa. Unakula mke wa mtu halafu unaogopa kuliwa.
CHA MTU MAVI
 
Back
Top Bottom