Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Hamna kitu kinatia kinyaa km kutembea na mke wa mtumaisha yoote na ukipanga woote sijawai kugusa mke wa mtu.labda gombania goli nao ni vibuti tu haraka sana.
 
kwa akili za mleta mada anaona ni sifa au ni jambo la kawaida kusema kuhusu kutembea na mke wa mtu ila nikuambie unajishushia thamani yako tu japo id ndio tunayoiona ila kama umeweza kuandika jf sijui mtaani unaishije na imani yangu inaniambia huna mchango kwenye jamii yako zaidi ya kuwa mjinga mjinga usie jielewa....

mwanaume ninkuwa na kifua kumezea mambo ukishaanza kujiskia kusema au kusikiliza mambo ambayo yanapaswa kuwa siri basi jua unautamatusha uanaume wako itabaki kuwa jinsia ya kiume tabia na maisha ya kike
 
Mwamba huyu Hapa, ukimuona tu Unajua ni Kitombi
 
Sasa wewe usiye mjinga na wa kiume,mada kama hizi unazisoma zikusaidie nini? Si upite uende unakotaka kusoma unavyotaka?
Je,mwanaume mwenye akili sasa ni yule anaewapangia watu namna ya kuishi?
 
Sasa wewe usiye mjinga na wa kiume,mada kama hizi unazisoma zikusaidie nini? Si upite uende unakotaka kusoma unavyotaka?
Je,mwanaume mwenye akili sasa ni yule anaewapangia watu namna ya kuishi?
hupangiwi namna ya kuishi ila unakumbushwa misingi ya mwanaume usiwe mjinga janja... siwezi kupita bila kuwapa maneno yatakayo wakumbusha kuubeba uanaume wako.... usidanganywe kwamba watu wakikuacha ufanye mambo yako ndio upo sahihi unapotea kinachofanyika ni kukumbushwa ukigoma basi uanaachwa uendelee na tabia za kike
 
Kuna upuuzi mwingine ukiufanya siri unaingia nayo kaburini wala huwezi kurudia kusema au hata kuwaza yaani it never happened...

Mke wa mtu ni Sumu (walisema wahenga) mwisho wake ni Kifo au jeraha la maisha....
madogo hawaelewi nn maana ya kuwa mwanaume sio kila jambo utalisema au kulifanya kama ni sifa mkuu huenda jamaa kanizidi umri ila kashajivua gamba la kuwa mwanaume amini kwamba
 
Kuna video pia nimeiona jamaa kafumaniwa akaambiwa ajitie chupa la mndukuni mwenyewe huku anaimba mke wa mtu sumu mke wa mtu sumuu kibo. Ro kimenywea vibaya mnoo na vimbupu anajipiga chupa MKIAMBIWA MSIKISIE
 
Kuna wahuni walitumwa na mwenye mke kumfanyizia jamaa lodge ...waligonga hodi kumtumia mhudumu wa lodge...jamaa alikua amepumzika ikabidi mwanamke akafungue mlango wahuni wakatimba ndani,jamaa akawahi kuchukua chuma chini ya mto...kabla hajavuta wahuni na mume wote nduki na mume alivunjika mguu na bega kwenye purukushani ya kuokoa maisha,kwahiyo sio kila mtu ndezi
 
Sawa. Lakini ni wangapi wanaochepuka na mke wa mtu wameweza kuwa washindi? Wengi wa wale niliosikia wamefumaniwa walipoteza maisha, walifanyiwa mambo yasiyostahili au walijeruhiwa vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…