Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Shauri yako.Utatuona kwenye teevee tulivyojilaza kando ya vijito tunabugia mvinyo na kuwaangalia wanawali kwa matamanio makuu tu.
 
Shauri yako.Utatuona kwenye teevee tulivyojilaza kando ya vijito tunabugia mvinyo na kuwaangalia wanawali kwa matamanio makuu tu.
Ahhhhh wapi. Wanaohubili wenyewe wanadai kutakuwa na vivutio vingi,na kila kilichopo duniani,kule kitakuwepo. Si bora nikahangaike na hivi hivi navyoviona kuliko navyohadithiwa! Nikifika nkakuta bora huku? Si unasikiaga habari za mabikra 72!! Jiulize watu Bilioni moja wapewe mabikra hao. Hata lodge zitajaa. Mi siendi kukesha,kisa nafasi zimejaa. Hapana.
 
Icho kinyundo mbele ya jina vina wekwa au ume jiwekea na vina maana gani ..maana naviona kwa mods
 
Nina moyo wa kukinai hata nikijua tu demu flani anamahusiano na flani huwa hisia juu yake zinakua hazipo tena, hata nikiwa na mahusiano na mwanamke yeyote nikiona kuna dalili ya mtu mwingine kuwepo huwa nakaa pembeni mwenyewe nasubiri tu kupata uhakika ili ni sign-out mazima mi ni mzee wa kutoa ushindi kwa watu wengine kwenye mambo ya mahusiano sitaki kuvuruga mahusiano ya watu na yangu yakivurugwa huwa natoka wa kwanza.
 
unge anza wewe na kisa chako.. hata kama chai
 
..
 
Ila matukio ya kula wake za watu yanaacha maumivu na hatia kubwa saana moyoni.mara nyingi ni kama ajali na unamla huku hujamtongoza
Ndo maana,kwenye ndoa za siku hizi,ni maigizo tu hakuna ndoa. Na wengi wao hujikalisha kimtego,wengine hukana ndoa zao,wengine hulalamiki hawapewi hiki na kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…