Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Shauri yako.Utatuona kwenye teevee tulivyojilaza kando ya vijito tunabugia mvinyo na kuwaangalia wanawali kwa matamanio makuu tu.Kufanya nini huko? Mi siendi na sitaki. Mkienda,baa zote zitabaki wazi,mifugo full. Magari yataachwa,vituo vya mafuta vitakuwepo,hotels nzuri zitabaki wazi. Kuna vidada vinajua huko vikienda havipokelewi,tutabaki wote tule raha. Ningekuwa na leseni ya kuendesha ndege,ningezunguuka dunia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣