Kuna jamaa mmoja( lile kabila bahili kabisa) alikua anafanya biashara ya mbao kitaani,
Za chini chini zikaanza kuenea kuwa jamaa anamtafuna mke wa rafiki yake ambaye pia ni mfanyabiashara wa mbao
Basi jamaa mwenye mke aliandaa safari ya mtego kuwa anafata mbao porini huko atakaa kama wiki mbili hivi
Huku nyuma tena siku ile ile jamaa likaenda kwa jamaa kula uroda , wapambe walikua kazini wakamtonya jamaa akaja chapu na mabaunsa wako full equiped na futa mgando
Inasemekana walikua mabaunsa watatu ,walimchimba choo jamaa sanaa mpaka chumba chote kikajaa nnya tu,
Alafu wakamuachia jamaa kwa aibu hakuripoti akakimbilia kwao kama miaka mitatu hivu baadae akarudi . FUNZO habari mbaya haiishi kabisa mana aliporudi tu stori zikaanza upyaaaa hata ambao walihamia mtaani wakapewa habari alitafunwa trako yule jamaa
Kwa sonona alijinyonga baada ya miaka mitatu ya tukio.
Nyie mnaokula wake za watu mnaamini wenzenu waliofumaniwa ni wajinga na hawana mbinu ila yakiwafika mtaomba Mungu na miungu yote