Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

Kwani saivi tunaendelea au tunarudi nyuma??
We are stuck in a limbo. And how did we get here?

Mambo yalikuwa mabaya kipindi cha Jakaya Kikwete, lakini alifahamu fika nini kinatakiwa kifanywe. Ndiyo maana maamuzi aliyoyafanya kwenye uwanja wa kimataifa yalikuwa tofauti na yale ya ndani.

Alikuwa makini sana, alifahamu kwamba huko duniani hapambani na BAVICHA bali International Mafia Bankers: Lakini sasa kipenzi chenu aliamini kabisa kwamba angeshughulika na WHITE MONOPOLY CAPITAL kama anavyomshughulikia Mbowe na Tundu Lissu.
 
Kuna mtu aliwajaza ujinga baadhi ya watanzania kwamba nchi yao ni tajiri na kuwaita hasa wazungu na wenye mitaji mikubwa kuwa ni Mabeberu - akaua wizara ya mambo ya nje - Finally akasepeswa baada ya kukiuka kiapo cha mwenyezi Mungu, sasa tunafanya u-turn kwenye main road ila nayo inagoma - maji hayatoki.
 
Unaweza kutuambia alitumia njia gani mbaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu tafasiri sahihi ya neno DIPLOMASIA ???
Can you define a term Diplomacy ???

Nadhani tuanzie kwenye msingi kabisa, kabla ya kufika huko mbali. Tukifanikiwa kutafasiri hili, nadhani tutakuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kuelezana wapi alikosea na wapu alipatia.....
 
Wewe kuniita mimi mpumbavu hakunifanya mimi kuwa mpumbavu,
Lakini pia hata nikisipokujibu ukweli kuhusu diplomasia ya Tanzania hauwezi badilika.
Nadhani ni wakati sasa, tufumbue macho na kukubaliana na ukweli kwamba marehumu HAYUPO ila Tanzania badi IPO
Kwa hiyo lengo lako lilikuwa uwepo wa marehemu?

Nitajie ni wapi huyo marehemu alisema hataki ushirika na mtu?

Hakuna popote balozi zetu imefungwa au kufungiwa kwa amri ya huyo marehemu.

Nioneshe sasa ni wapi na kwa vipi tulijitenga na dunia?
 
Mkuu, hebu nijibu kwanza,

Ushakubaliana na ukweli niliousema kwamba marehemu hayupo lakini Tanzania bado IPO inaendelea?

Ukishakubaliana na mimi utakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupokea majibu ya kitaalamu kutoka kwangu.
 
Mkuu, hebu nijibu kwanza,
Ushakubaliana na ukweli niliousema kwamba marehemu hayupo lakini Tanzania bado IPO inaendelea ???
Ukishakubaliana na mimi utakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupokea majibu ya kitaalamu kutoka kwangu.
Sasa mtu akishaitwa marehemu anakuwaje yupo?

Na lini tz iliacha kuendelea?
 
Sasa mtu akishaitwa marehemu anakuwaje yupo?

Na lini tz iliacha kuendelea?
Vizuri, naona ushaanza kukubali ukweli: Hii ni hatua nzuri kabisa ya kuanza kuelewa hoja nzito zinazojadiliwa hapa.
Sasa nawewe nakupa HOME-WORK kama mwenzako Mpinzire: Unafahamu maana ya neno DIPLOMASIA ???

NB: Ukinitajia maana ya hili neno basi ntaamini utakuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kuelewa mifano yote nikupayo
 
Unafahamu tafasiri sahihi ya neno DIPLOMASIA ???
Can you define what Diplomacy is ???

Nadhani tuanzie kwenye msingi kabisa, kabla ya kufika huko mbali. Tukifanikiwa kutafasiri hili, nadhani tutakuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kuelezana wapi alikosea na wapu alipatia.....
Kwenye Rasirimali za Nchi unataka tuweke Diplomasia mbele? Diplomasia kwenye win to win situations sawa ila Diplomasia ya wao wapate sie tukose hakuwa na ilo aisee.

Diplomasia na Democracy ndiyo inatumaliza bara la Africa! Wenzetu wanafanya kazi kwa bidii katika nchi zao sisi tunalazimisha hivo vitu wakati wenzetu wanajenga nchi zao wala hawakuwa na hivo vitu kwanza wakijali maslahi ya mataifa yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitahidi kuandika maelezo marefu yenye maneno mazuri lakini msingi wa bandiko lako ni Kumshambulia Mwendazake.
Nadhani ili bandiko lako liweze kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa jamii ulipaswa kuanza na kufafanua maana ya diplomasia,lakini pia ili uonekane haupo bais ungetuwekea faida za kujiunga na dunia na kwa namna gani kama nchi ilinufaika.
Lakini pia ulipaswa uonyeshe(hapa uweke ushahidi wa picha,maandishi au video) ni kwa namna gani mwendazake alijitenga na dunia.
Kuongea maneno yako tu bila ushahidi inajionyesha jinsi ulivyo na chuki na marehemu
 
Umeona tatizo lako sasa : Hufahamu nini maana ya neno Diplomasia.
Demokrasia haihusiani kabisa na Diplomasia, nilitegemea wewe msomi walau una ufahamu kuhusu hili.
Kutokakufahamu huku sasa, na kutopenda kujifunza zaidi ndiko kunakoligharimu hili taifa mpaka sasa.

NB: Jiulize ni wangapi wako kwenye nafasi nyeti na bado hawafahamu Diplomasia ni kitu gani haswa ???
 
Umeona tatizo lako sasa : Hufahamu nini maana ya neno Diplomasia.
Demokrasia haihusiani kabisa na Diplomasia, nilitegemea wewe msomi walau na ufahamu kuhusu hili.
Kutokakufahamu huku sasa, na kutupenda kujifunza zaidi ndiko kunakoligharimu hili taifa mpaka sasa.

NB: Jiulize ni wangapi wako kwenye nafasi nyeti na bado hawafahamu Diplomasia ni kitu gani haswa ???
Namimi ndiyo nakuambia watu wanajifanya wanadiplomasia ndiyo wanaongoza kwa kutupiga, wana maneno mazuri na matamu kweli ila kwenye kazi ni sifuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitahidi kuandika maelezo marefu yenye maneno mazuri lakini msingi wa bandiko lako ni Kumshambulia Mwendazake.
Nadhani ili bandiko lako liweze kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa jamii ulipaswa kuanza na kufafanua maana ya diplomasia,lakini pia ili uonekane haupo bais ungetuwekea faida za kujiunga na dunia na kwa namna gani kama nchi ilinufaika.
Lakini pia ulipaswa uonyeshe(hapa uweke ushahidi wa picha,maandishi au video) ni kwa namna gani mwendazake alijitenga na dunia.
Kuongea maneno yako tu bila ushahidi inajionyesha jinsi ulivyo na chuki na marehemu
The truth hurts, but it only hurts the guilty - Honorable Elijah Muhammad.

Hivi kuna mtu ambaye ameenda shule na kusoma vizuri, mfuatiliaji mzuri wa mambo ya siasa, uchumi na historia atataka kweli nitoe maelezo ya nini maana ya neno DIPLOMASIA ??? Hili mbona linafahamika "It's common and generic knowledge". Wewe na wachangiaji wengine, mmethibitisha kile nilichokisema kwamba watanzania wengi huwa tunafanya mambo aidha kwa maksudi, kimaslahi au tumekosa uelewa lakini bado tunajifanya wajuaji.

Ndugu Mpinzire ambaye kapingana na mimi kama wewe unavyofanya hapa, kasema Demokrasia na Diplomasia ni dhana za kimagharibi ambazo zinasababisha rasilimali zetu kuibwa. Marehemu naye aliwahi kusikika akiwa kwenye vikao vya ndani na wanasheria wa nchi akisema hivyo hivyo: Ninyi wanasheria mnakuwa waoga waoga na hayo maneno yenu mengi. Yeye alidhani Diplomasia na Sheria za kimataifa ni maneno, maneno tu.

Hivyo basi, kama hatufahamu maana nzima ya neno Diplomasia, tutaweza kung'amua kweli wapi Marehemu alipatia au alikosea katika kuongoza nchi ???
 
Unamaanisha kushirikiana kama 50/50 au maendeleo ya kisayansi au kushirikiana ambapo tanzania inapewa misaada na nchi ya kigeni inashikilia rasilimali zetu 100%
 
Back
Top Bottom