MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
-
- #21
Sawa.We jamaa umeandika thread ndeefu na mambo kibao ,ila tu HOJA YAKO KUU IMEJENGWA KATIKA MSINGI WA UWONGO,so this is just rubbish man!!(msisitizo kwa lugha ya kibeberu)
We are stuck in a limbo. And how did we get here?Kwani saivi tunaendelea au tunarudi nyuma??
Sawa.
You're right.Nashukuru kwa kukubali,sasa cha kufanya ni waombe Moderaters wafute hii thread kwa maana hakuna cha kujadili hapa,labda tu kama lengo lako ni kupotosha kwa makusudi!!
Unaweza kutuambia alitumia njia gani mbaya?Nakubaliana kabisa na wewe, lazima tulinde rasilimali zetu kwa WIVU MKUBWA, lakini siyo kutumia ile njia ambayo kipenzi chenu alikuwa anaitumia. Amevuruga mambo na itifikati katika kiwango kikubwa sana,.....
Unafahamu tafasiri sahihi ya neno DIPLOMASIA ???
Kwa hiyo lengo lako lilikuwa uwepo wa marehemu?Wewe kuniita mimi mpumbavu hakunifanya mimi kuwa mpumbavu,
Lakini pia hata nikisipokujibu ukweli kuhusu diplomasia ya Tanzania hauwezi badilika.
Nadhani ni wakati sasa, tufumbue macho na kukubaliana na ukweli kwamba marehumu HAYUPO ila Tanzania badi IPO
Mkuu, hebu nijibu kwanza,Kwa hiyo lengo lako lilikuwa uwepo wa marehemu?
Nitajie ni wapi huyo marehemu alisema hataki ushirika na mtu?
Hakuna popote balozi zetu imefungwa au kufungiwa kwa amri ya huyo marehemu.
Nioneshe sasa ni wapi na kwa vipi tulijitenga na dunia?
Sasa mtu akishaitwa marehemu anakuwaje yupo?Mkuu, hebu nijibu kwanza,
Ushakubaliana na ukweli niliousema kwamba marehemu hayupo lakini Tanzania bado IPO inaendelea ???
Ukishakubaliana na mimi utakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kupokea majibu ya kitaalamu kutoka kwangu.
Vizuri, naona ushaanza kukubali ukweli: Hii ni hatua nzuri kabisa ya kuanza kuelewa hoja nzito zinazojadiliwa hapa.Sasa mtu akishaitwa marehemu anakuwaje yupo?
Na lini tz iliacha kuendelea?
Kwenye Rasirimali za Nchi unataka tuweke Diplomasia mbele? Diplomasia kwenye win to win situations sawa ila Diplomasia ya wao wapate sie tukose hakuwa na ilo aisee.Unafahamu tafasiri sahihi ya neno DIPLOMASIA ???
Can you define what Diplomacy is ???
Nadhani tuanzie kwenye msingi kabisa, kabla ya kufika huko mbali. Tukifanikiwa kutafasiri hili, nadhani tutakuwa kwenye nafasi nzuri kabisa ya kuelezana wapi alikosea na wapu alipatia.....
Umeona tatizo lako sasa : Hufahamu nini maana ya neno Diplomasia.Kwenye Rasirimali za Nchi unataka tuweke Diplomasia mbele? Diplomasia kwenye win to win situations sawa ila Diplomasia ya wao wapate sie tukose hakuwa na ilo aisee.
Diplomasia na Democracy ndiyo inatumaliza bara la Africa! Wenzetu wanafanya kazi kwa bidii katika nchi zao sisi tunalazimisha hivo vitu wakati wenzetu wanajenga nchi zao wala hawakuwa na hivo vitu kwanza wakijali maslahi ya mataifa yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namimi ndiyo nakuambia watu wanajifanya wanadiplomasia ndiyo wanaongoza kwa kutupiga, wana maneno mazuri na matamu kweli ila kwenye kazi ni sifuri.Umeona tatizo lako sasa : Hufahamu nini maana ya neno Diplomasia.
Demokrasia haihusiani kabisa na Diplomasia, nilitegemea wewe msomi walau na ufahamu kuhusu hili.
Kutokakufahamu huku sasa, na kutupenda kujifunza zaidi ndiko kunakoligharimu hili taifa mpaka sasa.
NB: Jiulize ni wangapi wako kwenye nafasi nyeti na bado hawafahamu Diplomasia ni kitu gani haswa ???
The truth hurts, but it only hurts the guilty - Honorable Elijah Muhammad.Umejitahidi kuandika maelezo marefu yenye maneno mazuri lakini msingi wa bandiko lako ni Kumshambulia Mwendazake.
Nadhani ili bandiko lako liweze kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa jamii ulipaswa kuanza na kufafanua maana ya diplomasia,lakini pia ili uonekane haupo bais ungetuwekea faida za kujiunga na dunia na kwa namna gani kama nchi ilinufaika.
Lakini pia ulipaswa uonyeshe(hapa uweke ushahidi wa picha,maandishi au video) ni kwa namna gani mwendazake alijitenga na dunia.
Kuongea maneno yako tu bila ushahidi inajionyesha jinsi ulivyo na chuki na marehemu
Nani anajifanya mwanadiplomasia ambaye amewahi kukupiga ???Namimi ndiyo nakuambia watu wanajifanya wanadiplomasia ndiyo wanaongoza kwa kutupiga, wana maneno mazuri na matamu kweli ila kwenye kazi ni sifuri.
Sent using Jamii Forums mobile app