ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huu si ushuzi umeandikwa hapa.Maneno mengi ushuzi tupu watu madhubuti huongea wakati watu wakiwa hai bila kuogopa.........
Umefurahi au unatoa taarifa. Wacha uwe mkoa benki zingine zitarichukuaHii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
View attachment 1976146
Bank ya CRDB Chato huwa ina kighorofa. Labda kama hilo liwe ni Jengo la CRDB zamani.
Sasa kama CRDB wameshindwa kufanya biashara ni fremu za biashara gani unataka weweHakika ni maajabu,kutoka kuwa bank hadi club?bora tungesikia jengo limegeuzwa kuwa la upangishaji wa frame za biashara maana maeneo ya starehe siyo endelevu baada ya miezi sita hakuna atakayeingia humo.
Bado uwanja wa ndege tutaaanikia dagaaa paleHii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
View attachment 1976146
Jengo linafanyaje kazi,LinatumikaTumieni akili basi. Hapo ni pale CRDB walikuwa wamepanga zamani. Idiot kabisa. Jengo la CRDB lipo na linafanya kazi.
wanafki walikuwa wanapiga makalio kwa vifijo sasa hivi wamepoteana, ila bado utayasikia mama mitano tenaKila mtu akiamua kufunguka, jamaa anaweza fufuka
Crdb hawajashindwa biashara, crdb walikuwa chato tokea 2008. Ila wslichofanya ni kujenga jengo jipya 2018.Sasa kama CRDB wameshindwa kufanya biashara ni fremu za biashara gani unataka wewe
lina wateja wangapi kwa siku, wiki mwezi>?Tumieni akili basi. Hapo ni pale CRDB walikuwa wamepanga zamani. Idiot kabisa. Jengo la CRDB lipo na linafanya kazi.
Tumieni akili basi. Hapo ni pale CRDB walikuwa wamepanga zamani. Idiot kabisa. Jengo la CRDB lipo na linafanya kazi.
Majitu mengine bhana, na Stand ya Magufuli Mbezi Luis mkiigeuza kuwa club nayo mtamlaumu JPM?Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
View attachment 1976146