Tetesi: Iliyokuwa CRDB bank sasa yageuzwa kuwa Chato Club

Ungejua maana ya neno tetesi usingecharuka, bado kiswahili kinatushinda.
Tetesi sio ulete uongo mkuu, mleta uzi kapotosha makusudi kwa sababu zake mwenyewe,je hilo ndio jengo la CRDB la sasa? tuuache kuteteta upuuzi bana ,hizo ni chuki za kijinga.
 
Ujinga mtupu,Magu alimtumbua Likwelile Halafu nafasi yake akampa mtoto wa dada yake Bwn. Dotto J.
 
Ujinga mtupu,Magu alimtumbua Likwelile Halafu nafasi yake akampa mtoto wa dada yake Bwn. Dotto J.
Sijaongelea Nani alimpa naongelea hicho alichoandika Vicky kamata as if she is a saint mwizi na tapeli aliyetapeli michango ya harusi hewa akishirikiana na tapeli lenzie lililojifanya eti mume mtarajiwa wa Vicky Kamata.Magufuli mwenyewe ni Kati ya watu waliotapeliwa na Vicky kamata kipindi kile akiwa waziri wa Kikwete kuchangia hiyo harusi hewa ya msukuma mwenzie Vicky Kamata.Alimtapeli Hadi msukuma mwenzie Magufuli akachangia ndoa hewa.Ndio maana kipindi kilichofuata alipigwa chini viti maalumu
 
Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?

View attachment 1976146
Mtoa mada bado sana na wala hujaanza wewe alianza Fatuma Karume upotoshaji huu na badae akajisahihisha.
 

Attachments

  • Screenshot_20211016-113446_Twitter.jpg
    30.5 KB · Views: 1
Nakuuliza, alivyotolewa Dr. Likwelile kwny hio nafasi,Magu alimpa Nani nafasi hio?
 
Kifo Tu ndicho kilimuweza,jamaa alikuwa strong sana Yule, angebaki miaka 20 mingine Duniani watu wangelia sana, alikuwa hafichi kama hakupendi anasema kabisa wazi ushughulikiwe
Ndio maana Diallo alisema jamaa alikua na file lake Milembe.
 
Uzushi Mtupu Nimepita Hapo Siku Moja Kabla Ya Tukio La Kuzima Mwenge CRDB Ilikuwa Safi Inapiga Kazi
 
Nakuuliza, alivyotolewa Dr. Likwelile kwny hio nafasi,Magu alimpa Nani nafasi hio?
Sina cheti Cha kuzaliwa Cha huyo mtu Wala ushahidi hebu tuwekee ushahidi wewe humu Kama huyo ni mtoto wa dada yake weka cheti Cha kuzaliwa Cha dada yake Magufuli na Cha huyo viweke humu

Weka ushahidi yaani documentary evidence
 
Huu n uzushi jengo jipya Lina ghorofa alafu pia Hilo sio jengo jipya
 
Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?

View attachment 1976146
Sio kazi ya photo shop hii? Au hiyo club haijaanza shughuli mpaka ionekane iko tupu, nje hakuna dalili za kuonesha kuna shughuli zinaendelea, watu kupita, hata uchafu kama tulivyozoea mazingira yetu?
 
aisee Sasa huo ni mji au Kijiji duuu Huu wazimu aisee Chato ina tofauti Gani na Kijiji Cha Ubaruku Mbarali aiseee!

Yaaani huo ndio mji wanaotuambia una international airport?

Nimezoom kidogo kwenye Google Earth. Chato inakua kwa kasi, na ni kubwa kweli kweli. wamejenga kwa kuupanua mji.
 
Asante kwa taarifa! Siku hizi kuingia JF unajifikiria mara mbili sio kama zamani.
Inapoteza watu intellectual
Crdb hawajashindwa biashara, crdb walikuwa chato tokea 2008. Ila wslichofanya ni kujenga jengo jipya 2018.
By the way, sasa hivi crdb wapo karibu kila wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…