Ha ha ha ha Bro ngoja aje mwenyewe mie natoroka zangu
halooooo!embu mpe mijineno atulie maana hachelewi kusema eti alinitaka mwenyewe nikamkata
shangaa na wewe mie nimedondokewa na mtoto Dena Amsi afu Vin Diesel anataka kuzibaNyambaf dogo, wewe si unajisifia ni kidume cha mbegu kutwa kuwarukia dada za wenzio, tulia upate mashemeji wewe... teh teh teh.., nilikuwa sijui kumbe nguruwe kwa mchungu kwa mkuki binadamu eeh..!!??
Thank you
Slave unajua nakuheshimu unataka kunivunjia ndo wewe naona tafadhalishangaa na wewe mie nimedondokewa na mtoto Dena Amsi afu Vin Diesel anataka kuziba
shangaa na wewe mie nimedondokewa na mtoto Dena Amsi afu Vin Diesel anataka kuziba
Mie nakuzibaje wakati dada yangu ameshaolewa siku nyingi......
Kwani mimi nimesema kitu kuhusu dada yako...!?? afu hivi leo juma ngapi ati..!?