I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

mwl mwenzangu mie hujiuliza kwann watu wanamuandama mwenyekiti wetu sana??
je ni kwamba hawaitaki tena CC??

Sasa mie naomba kwanza kabisa niwe mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa jf(uwj), ili kuiongezea nguvu zaid CC??
BRAVO cc!!!

Uwepo wako unahusika sana, inabidi iwe hivyo
 
Mi nakupenda,unajua wewe ni mzuri sana jamani,,nikubalie basi ili nimwambie Baba V tufunge ndoa,,wewe ni kama blue band kwenye mkate wangu,wewe ni kama bomu vitani kwa umuhimu wako,ni kama kalamu katika mtihani jinsi ninavyokuthamini sema ndio presha yangu ishuke nikubali mimi niwe wako

Mkuu,mie ni verified user niliye amua kubadili jina.
Tumeelewana?
 
Last edited by a moderator:

Umeongea kwa huruma mpaka nimelia?? Aku mie sikubaliani na wazo lako la kuo...... (Sitaki maswali hapa ebo)
 
Mkuu jiheshimu,mie ni mwanaume ati!!
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • Shambani.jpg
    28.6 KB · Views: 36
Uhakiki wapi mwalimu mwenzangu, kule siasani kuna watu wagumu kuelewa kwa hiyo ninapojaribu kutumia mbinu shirikishi na vurumushi najikuta selo, nimerudi tuko pamoja
mie kule huwa nawapa na nawaambiaga kwamba wao sio wamiliki wa forum hivyo watuwache tupumuwe. ila dawa yao ni kuwapa makubwa live
 
hashidwi mtu hapa na hakuna kulala mpaka kieleke!uoga wako ndio...............SIKUOGOPI ACHA KUNITISHA!

Naona umedhamiria eeh..!!?? hivi inawezekana haya mazoezi ulikuwa unanifanyia mimi ee...!!! baado sana
 
Attachments

  • Mtindi.jpg
    21.7 KB · Views: 32
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…