I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Turiroooo turiroooo tiririririritiiriririri chikochiko uwyfyiiiiiiiii
 
mie kule huwa nawapa na nawaambiaga kwamba wao sio wamiliki wa forum hivyo watuwache tupumuwe. ila dawa yao ni kuwapa makubwa live

Sasa ivi wameshanifahamu, wakiniletea za bodaboda mi nawarukia na baiskeli, jela kwenyewe nishakuwa mzoefu, ni kunyooka nao tu
 
Baba V pole sana na karibu sana. Nilikumiss sana
 
Last edited by a moderator:
Baba V punguza jazba
hii nchi imeshindikana wewe utaiweza?
Wakuiweza hii nchi ni LOWASSA only

Na kwanini umeondoa kipengele cha kukutumia private message kwako?
 
Last edited by a moderator:

Mpe salamu zangu mama V
 
Huyu binti asione vyaelea akadhani ni mitumbwi..., nilikuwa namchungulia tu kupitia nondo za selo alivyokuwa anaruka sarakasi hapa na kanga yake moja. yule bado sana

Ha ha haa! ameona mtu mwenyewe Baba Vkila baada ya siku mbili unakwenda lupango na humu jamvini tunakuwa tunahitaji uwepo ikabidi ajitose, nakuomba umpe umakamu mwenyekiti...
 
Last edited by a moderator:
passion lady wewe ulisema ndoa yako imeingia doa tena ukanitabiria na mie kuwa ndoa yangu ipo mashakani.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa! ameona mtu mwenyewe Baba Vkila baada ya siku mbili unakwenda lupango na humu jamvini tunakuwa tunahitaji uwepo ikabidi ajitose, nakuomba umpe umakamu mwenyekiti...

Niko mbioni kutangaza timu itakayokuwa inashirikiana na Mwenyekiti atakapokuwa in absentia ili mambo yasidorore, pamoja shem
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…