passion lady wewe ulisema ndoa yako imeingia doa tena ukanitabiria na mie kuwa ndoa yangu ipo mashakani.
Baba V punguza jazba
hii nchi imeshindikana wewe utaiweza?
Wakuiweza hii nchi ni LOWASSA only
Na kwanini umeondoa kipengele cha kukutumia private message kwako?
Hahahaaa umenichekesha sana mkuu watu8!!
Hili nitalifungulia thread mpya kulipa uzito unao stahili!
Umekuja dogo,wacha tuanze mchezo ila shahidi atakuwa passion lady........
Baba V karibu tena aise. Duh na wewe BAN zimezidi bana mwenyekiti gani kila siku yuko jela. Kule hakukufai tushakuambia aise
Hivi una taarifa za kuanza kwa mahusiano kati ya KOKUTONA na Vin Diesel
Hebu nusa nusa usikie habari zao
Na za kwangu na Mamndenyi japo nampooza machungu tuu huku kujijini sio mengine
naomba uwe mc kwny harusi yangu ukisaidiana na Kokutona!
We ex wangu...thanx for the love you gave me.....miss u
cc Mr Rocky...
Thats right
we vin diesel mbona hunitakii mema jamani,siachiki ng'ooooo!nia yako naijua
passion lady wewe ulisema ndoa yako imeingia doa tena ukanitabiria na mie kuwa ndoa yangu ipo mashakani.
Nimesharudi bibie, ondoa hofu...sasa kila kitu kitaenda sawa, nimemuomba Moderator POO ya ban angalau kwa wiki tatu kwanza nikamilishe ndoa yenu, naona wanga wameanza kuwawangia
Sasa unataka kukana?
na wanawanga kwelikweli,ila hatutetereki hata kidogo,mipango iko palepale na maandalizi yamepamba moto,harusi ni jumamosi ya wiki ijayo ila tunaogopa kutangaza mapema, mmoja wetu anaweza vunjwa kiuno kwa chuki binafsi za watu bure,mara loya sjui kafanya hiki,mara oooh tulikua na mkataba kila valentine tukutane,peeepeeeeepeeeeee kibao mradi watuharibie!ila wamekutana na kisiki cha mpingo!siskiii wala siambiwi!au sio Ruttashobolwa
sasa c yalishapita,nitakuja kushtaki kwa baba ako unataka kunivunjia uchumba,na alivyo mkali sipati picha bakora utazokula we endelea!
Nakutabiria life ban in a week's time, labda kama sio Pou