I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Huo ndo msimamo wa mtoto wa kike, sio unakuwa kama Madame B....., naskia kakosa wa kutoka nae valentine kisa kila mume kamsakizia mwenzie

yah!hata mimi nimeskia pia,Madame B pole shosti,wote wamepata vitu vipya ndio maana wamekukacha,njoo kwangu nimemuandalia pati Ruttashobolwa tujumuike sote ila usikae nae karibu tu!
 
Atanisifia sana maana wajua jinsi alikupenda....hebu rudi nyumbani tulee watoto

akha staki mie,kila siku we kulewa na vipigo juu looo,nimepata mstaarabu mwenzangu!wasalimie wanangu pusi na paku!waambie nawamis sana
 
yah!hata mimi nimeskia pia,Madame B pole shosti,wote wamepata vitu vipya ndio maana wamekukacha,njoo kwangu nimemuandalia pati Ruttashobolwa tujumuike sote ila usikae nae karibu tu!

Cheka na nyani mamaa, usije tu kunililia mie
 
mwal si wajua kabla ya matokeo kuna wanao hakiki?? basi nlijua mwl mwezetu ndo kaenda huko.

Niligoma , yaani mambo ya kwenda kukadiria maksi ili kujaza nafasi za kidato cha tano. Jinga kabisa wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…