I really love her!i can't think anything different out of love.mawazo yenu mazuri nitayafanyia kazi.
UBARIKIWE SANA
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.
THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.
i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!
Yeah I know you real mean that Bwashee! Ndio maana leo nimeidediketi kwa ajili ya kunusuru penzi lako (Burn anasema eti nampigia dada chapuo asimwagwe, Mpwa bana!). Sijachangia thread nyingine zaidi ya hii kwa heshima yako na dada yangu. God bless ya'll (quote from Nguli's best friend)
I really love her!i can't think anything different out of love.mawazo yenu mazuri nitayafanyia kazi.
UBARIKIWE SANA
na wewe utamwambia aongeze mke wa pili teh teh teh
na wakati kishaelewekaLeo kazi ipo hapa!
nilikuwa nataka kuuliza umepotea wapi? karibu shemDawa ya mwanamke mkorofi korofi ni kuongeza mke mwenza tu atatia adabu.
Another reason not to get married.
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata horror movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.Kwenye hii ndoa mmebahatika kupata kid? mimi nadhani mnaweza kusolve matatizo yenu na mkaendeleza hii ndoa..............tatizo la ndoa nyingi ni kila mtu kujaribu kujifanya yupo juu kimaamuzi.... huko nyuma wazazi wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka yote mpk mwenyezimungu aamue kumchukua mmoja wao ndio ndoa inapokomea, siku hizi baada ya techologia kukua kila mtu najifanya mjuaji ndio maana utakuta ndoa zetu hazidumu.
Another reason not to get married.
ooh!kabla sijaolewa kuna dada mmoja nilikuwa nafanya nae kazi ,mala kwa mla akija kazini analalamika sana kuhusu mme wake ,na ilifikia kipindi hawaongei ndani kama anashida anamtumia message style yao inakuwa kuongea kwa message za simu hata week
ila walivumiliana mpaka sasa anasema ndoa yao ina amani sana
so matatizo ndani ya ndoa yapo tu siku zote sio mtelemko iko siku inabidi na mlima upandwe mshuke mpande mpaka kifo kitakapowatenganisha
nilikuwa nataka kuuliza umepotea wapi? karibu shem
Umeme umerudi mnazi mmoja kwa mujibu wa wadau hapa lol
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata hoor movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata hoor movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.