I'm going through hell!...should i keep going?

I'm going through hell!...should i keep going?

I really love her!i can't think anything different out of love.mawazo yenu mazuri nitayafanyia kazi.

UBARIKIWE SANA

Yeah I know you real mean that Bwashee! Ndio maana leo nimeidediketi kwa ajili ya kunusuru penzi lako (Burn anasema eti nampigia dada chapuo asimwagwe, Mpwa bana!). Sijachangia thread nyingine zaidi ya hii kwa heshima yako na dada yangu. God bless ya'll (quote from Nguli's best friend)
 
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

Kwenye hii ndoa mmebahatika kupata kid? mimi nadhani mnaweza kusolve matatizo yenu na mkaendeleza hii ndoa..............tatizo la ndoa nyingi ni kila mtu kujaribu kujifanya yupo juu kimaamuzi.... huko nyuma wazazi wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka yote mpk mwenyezimungu aamue kumchukua mmoja wao ndio ndoa inapokomea, siku hizi baada ya techologia kukua kila mtu najifanya mjuaji ndio maana utakuta ndoa zetu hazidumu.
 
Yeah I know you real mean that Bwashee! Ndio maana leo nimeidediketi kwa ajili ya kunusuru penzi lako (Burn anasema eti nampigia dada chapuo asimwagwe, Mpwa bana!). Sijachangia thread nyingine zaidi ya hii kwa heshima yako na dada yangu. God bless ya'll (quote from Nguli's best friend)

you can say it again shem!
i like that
 
I really love her!i can't think anything different out of love.mawazo yenu mazuri nitayafanyia kazi.

UBARIKIWE SANA

na hili ndilo la msingi, you might end up in more hell than current one,mi nadhani inabidi uvumilivu zaidi na kuchance wakati wa kuongea nae, najua wanawake huwa ni wasikivu sana na kufuata chochote unachomwambia hadi unaweza ogopa why anakuwa obidient namna hii!Sasa unatakiwa kama mwanaume ujue ni wakati gani anakuwa msikivu kwako 100%. Kwa mfano wangu nikitoka nae along matembezi akapenda kitu even pochi tu au kiatu,huwa najitahidi atleast hata kesho yake nimletee japo si kila kitu, ni mda ule tu napotaka kumweleza matatizo yetu, anasikiliza na anapromise kucomply etc, so may be do your homework to identfy the right time to talk to her and privatise her attention by 100% ! again pole sana! Jambo jingine muhimu ni prayers (kwa imani yako), just call her and tell her that' my wife lets pray, then wewe ndo usali halafu umwambie mungu kuhusu matatizo yenu, utashangaa anavyochange na kuwa humble ghafla!!
 
Kwenye hii ndoa mmebahatika kupata kid? mimi nadhani mnaweza kusolve matatizo yenu na mkaendeleza hii ndoa..............tatizo la ndoa nyingi ni kila mtu kujaribu kujifanya yupo juu kimaamuzi.... huko nyuma wazazi wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka yote mpk mwenyezimungu aamue kumchukua mmoja wao ndio ndoa inapokomea, siku hizi baada ya techologia kukua kila mtu najifanya mjuaji ndio maana utakuta ndoa zetu hazidumu.
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata horror movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.
 
Oooo! At last kumekucha! Good Morning bigboy!
OHOOOOO!
hivi nilisahau hata kuangalia saa....!with nine hours difference kule itakuwa saa moja asubuhi.(kumbe ni off-point?sorry)
 
kabla sijaolewa kuna dada mmoja nilikuwa nafanya nae kazi ,mala kwa mla akija kazini analalamika sana kuhusu mme wake ,na ilifikia kipindi hawaongei ndani kama anashida anamtumia message style yao inakuwa kuongea kwa message za simu hata week
ila walivumiliana mpaka sasa anasema ndoa yao ina amani sana
so matatizo ndani ya ndoa yapo tu siku zote sio mtelemko iko siku inabidi na mlima upandwe mshuke mpande mpaka kifo kitakapowatenganisha
 
ooh!
nitafurahi kama matatizo yangu yatakwisha!SEPARATION BY DEATH IS WHAT I DREAD
 
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata hoor movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.

Tafadhali sikia ombi la dada yetu....kweli inatisha inaweza kuvunja ndoa badala ya kustrengthen
 
jamani pls badili hiyo avatar naogopa mwenzio, hata hoor movies siwezagi kuwatch, pleaaaaaaaaaase. Nguli niombee tafadhali. na kwa heshima ya Geof na mrembo wake na shemeji yake chriss pamoja na ZD, nYAMAYAO NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA,NAKUOMBA UBADILI.

Naunga mkono HOJA YA BINAMU. Tafadhali zingatia ACCORDINGLY!
 
Back
Top Bottom