I'm looking for matured Man to be my husband

I'm looking for matured Man to be my husband

PM.

Sina mambo mengi, mimi mkaa ndani tu.

Sinywi Pombe, Sivuti Sigara, Sibet, Si Shabiki Saana Wa Kitu Chochote Hata Mpira, Niko Fair Na Mvumilivu, Napenda Kufikiri, Sili Sana.

Napenda Maisha Ya Kiasi.

- Udhaifu Wangu.

Nina Huruma Sana Hivyo Dharau Ikiwa Too Much Huwa Nakasirika Sana.

Ni Mvivu Sana Kupika na Kufua
Lakini nikitombi balaaa
 
I THINK IF ONE IS NOT INTERESTED. SHOULD IGNORE THE POST .INSTEAD OF TRYING TO MAKE HER FEEL AS IF SHE IS LESS OF A WOMAN. SIMPLY BECAUSE SHE IS 30...WE DONT ALL LOOK FOR THE SAME CRITERIA..I THINK THE KEY IS ONE SHOULD SET THE STANDARDS.AND LOOK FOR A PARTNER WHOSE STANDARDS ARE EQUIVALENT TO YOURS................is that simple.
 
Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Mimi muislam nipo tayari kukuoa ila utakua mke wa pili nitakupenda sana na kukujali.Karibu pm
 
Kuwa mke wa pili upo tiyari?? Mwulize huyu wa kwanza, atakueleza miaka zaidi ya 12 na hajawahi kujutia ndoa yetu. Natamani wa pili kwa sababu, kila siku pilau tuuu hapana, hata wali mweupe ni badiliko la chakula chetu mchele. Ni hilo tu limenisumbua na suria/mchepuko siutaki nataka uwe milki yangu.
Chonde chonde, usijekuwa kicheche na msemaji ka chiriku. usijekuwa fundi vifungo yaani ukiuangalia mfuko vifungo hukatika vyenyewe. Pia usije kuwa mpenda watoto wengi. Nikikupa 2 tu wanatosha.
Njoo PM tuyajenge, kabla mwezi February, 2020 upo nyumbani
Never under the sun!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom