Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria bali sasa wanafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCMPolisi wengi huwa ni fyatu. Hasa wakiwa na mibuti yao ile ya mtumba.
Anakupa show kali halafu akitoka hapo anaenda kulala kwenye kijumba chenye kutu.
Roho yake kwatuuu! Kwenye kibanda cha kutu. [emoji16][emoji16][emoji16]
Kazi zingine ujuha mtupu! Unawafanyia kazi wanasiasa kwa ujira mduchu na mazingira duni huku wao wanakula bata na mafao ya taifa.
Ona kama huyo, sijui kavaa raba-mtoni zile... kheee [emoji16][emoji16]
Polisiccm sasa ni waonevu kupita hata kipindi cha magufuliUkaburu sio rangi, bali ni matendo.
Amani ipi imevurugwa wapi huko ilipovurugwa?? Kudai katiba mpya ni kuvuruga Amani?acheni kutengeneza visingizio vya Amani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzaniNimeiona picha hii asubui nikajua hao ni Simba, nikajua ni mambo ya mpira.
Hii si sawa. Kuna watu wanafanya jitihada kuvuruga amani tuliyonayo ili wajinufaishe kisiasa. Hii si sawa kabisa. Lazima hatua zichukuliwe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Polisi wengi huwa ni fyatu. Hasa wakiwa na mibuti yao ile ya mtumba.
Anakupa show kali halafu akitoka hapo anaenda kulala kwenye kijumba chenye kutu.
Roho yake kwatuuu! Kwenye kibanda cha kutu. [emoji16][emoji16][emoji16]
Kazi zingine ujuha mtupu! Unawafanyia kazi wanasiasa kwa ujira mduchu na mazingira duni huku wao wanakula bata na mafao ya taifa.
Ona kama huyo, sijui kavaa raba-mtoni zile... kheee [emoji16][emoji16]
Kati ya hao wawili ni nani anavuruga amani?Amani ipi imevurugwa wapi huko ilipovurugwa?? Kudai katiba mpya ni kuvuruga Amani?acheni kutengeneza visingizio vya Amani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani
Police wa kiafrica kumtesa Mzungu sio habari, kumtesa mwafrika sio habari, Hapo Ingekuwa ni police wa kizungu Ingekuwa ni habari dunia nzima.I CAN'T BREATHE....
Ndugu zao hawa hapa.Polisiccm sasa ni waonevu kupita hata kipindi cha magufuli
Asee afadhali mimi nilidhani macho yangu yana marueruwe maana mimi nimeona aliekaa ameweka mguu nyuma ya shingo na alielala kaulalia kwa shingo huo mguu au labda kiswahili changu ndio kibovu kulalia na kukanyaga nimeshindwa kutofautisha anyway hakuna kitu kibaya kama mapenzi,mahaba yakizidi halali itaitwa haramu na haramu itaitwa halali...be careful when you walk through these social media uchochezi sio dili...na watu wanachangia kama hawaoni kilichoandikwa ni tofauti na picha...ok nje ya mada< nimekumbuka kuna wanyama wanahama kila mwaka kutoka Kenya kuja kuzalia Tanzania ila nimewasahau jina!Hajamkanyaga bali uyo kalalia kiatu Ndio maan kisogo cha jamaa hakijagusa chini, ingekua kamkanyaga uo mguu ungekua juu ya shingo na ata kichwa Cha uyo jamaa kingegusa chini moja kwa moja
Pichani Ni Mwanachama wa @ChademaTz Deus Soka (@DEUSNOWOFFICIA1) Akifanyiwa Ukatili wa hali ya Juu na Jeshi la Police @tanpol kwa kukanyagwa Shingo na Sehemu nyingine za mwili wake kwa tuhuma za Kuvaa T-shert yenye Maandishi ya #KatibaMpya!!Ungeweka video ingekua ni ushahidi mzuri ulioshiba sabab Apo inawezekan wamemdaka wakt anatak kuanguka lakin picha ikapigw angle mbaya ikatengeneza scenario tofaut kabis
Pichani Ni Mwanachama wa @ChademaTz Deus Soka (@DEUSNOWOFFICIA1) Akifanyiwa Ukatili wa hali ya Juu na Jeshi la Police @tanpol kwa kukanyagwa Shingo na Sehemu nyingine za mwili wake kwa tuhuma za Kuvaa T-shert yenye Maandishi ya #KatibaMpya!!Asee afadhali mimi nilidhani macho yangu yana marueruwe maana mimi nimeona aliekaa ameweka mguu nyuma ya shingo na alielala kaulalia kwa shingo huo mguu au labda kiswahili changu ndio kibovu kulalia na kukanyaga nimeshindwa kutofautisha anyway hakuna kitu kibaya kama mapenzi,mahaba yakizidi halali itaitwa haramu na haramu itaitwa halali...be careful when you walk through these social media uchochezi sio dili...na watu wanachangia kama hawaoni kilichoandikwa ni tofauti na picha...ok nje ya mada< nimekumbuka kuna wanyama wanahama kila mwaka kutoka Kenya kuja kuzalia Tanzania ila nimewasahau jina!
Utii wa nini?Utii bila shuruti ni zawadi iliyotukuka
Atakula jeuri yake.
Kukichwa kutapambazukaMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
Hivi tuna jeshi la polisi au tuna takataka?Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
Acha kufananisha takatata ambazo unapata raw materials nzuri kabisa na huuu upuuzi/genge LA kigaidi LA CCMHivi tuna jeshi la polisi au tuna takataka?
lakin ndio ukwel wenyewe mzeeNimekosa cha kukujibu. Mungu akusaidie tu