Very nice speaking nami nimeona hivo hata kiatu cha jamaa angekamkanyaga incha vidole ingekuwa juu kisigino chini lakin pale inaonekana kisigino kipo juu ncha vidole ipo chini. Mission failureHajamkanyaga bali uyo kalalia kiatu Ndio maan kisogo cha jamaa hakijagusa chini, ingekua kamkanyaga uo mguu ungekua juu ya shingo na ata kichwa Cha uyo jamaa kingegusa chini moja kwa moja
mapicha kama haya yanaamshaga ghazabu sana.nakumbuka kule masasi mwaka flani watu walichoka kuvumilia uonevu wa polisi.wakanzisha vulugu ambazo zilitia hasara serkali pamoja na familia za askari polisi zilifanyiwa vurugu kubwa sanaMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Kuna Siku itafika Wananchi Watalipa VISASI kwa NDUGU za POLISI HUKO MIKOANI MAWILAYANI NA VIJUJINI KWAOMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Mwisho wa utawala wa Hitler askari kama hawa waliuawa kama mbwa. Mizoga yao ilitupwa kwenye maji machafuMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Na sura yake iko wazi kabisa.Polisi anaishi uraiani, uraiani kuna wananchi wenye kisirani
Wewe hapo umeona amekanyagwa?mapicha kama haya yanaamshaga ghazabu sana.nakumbuka kule masasi mwaka flani watu walichoka kuvumilia uonevu wa polisi.wakanzisha vulugu ambazo zilitia hasara serkali pamoja na familia za askari polisi zilifanyiwa vurugu kubwa sana
Mi nashangaa wote msimbazi afu hawaoneani hurumaNae kavaa nyekundu lakini hamwonei huruma
Akifanya mzungu kwa mtu mweusi mnasema wanatunyanyasa weusi. Mweusi akimfanyia mweusi unasema kutii sheria bila shuruti.Utii bila shuruti ni zawadi iliyotukuka
Atakula jeuri yake.
Siyo kuwapiga. Upo wakati wa kuwanyamazisha kama wanavyonyamazisha watu leo.Askari kafanya kazi yake vizuri kabisa, excellent, well done, alafu nyie CDM mnatest test sana utawala, mkiguswa kidogo tu mnalia lia, si mpigane? Mm naona hapo hajapigwa vizuri huyo, aaarrghrwr😡😡
Lete picha za kukanyagwa kwa huyo mtu. Hizo zote ulizozituma zinaonyesha askari amekanyaga chini mguu ukiwa usawa na shingo ya huyo mtuhumiwa. Vinginevyo kama huna ukweli wa jambo acha kuchonganisha jamii na walinzi waoMungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa.
Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye maandishi ya KATIBA MPYA.
Just Imagine eti huyu ndio Mlinda amani
View attachment 1891399
View attachment 1891400
View attachment 1891605
View attachment 1891606
View attachment 1891607
Kama hujui kwamba kuna editing na kama hujui kama kuna acting basi wewe upimwe kamasiWewe unahitaji kupimwa mkojo asee. [emoji23][emoji23][emoji23]