kwani yuko wp huyo raisi mwenyeweSiasa na ulekeo wa dunia hii zinahitaji Raisi anaejifunza na kusoma mambo mengi.
Rais wetu sidhani kama ana sifa hizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani yuko wp huyo raisi mwenyeweSiasa na ulekeo wa dunia hii zinahitaji Raisi anaejifunza na kusoma mambo mengi.
Rais wetu sidhani kama ana sifa hizo.
Hii dunia Ingekuwa na waafrika na waarabu pekee Ingekuwa ishaangamiaHii nchi bwana CCM itatawala milele.
Watawala mambo yakiwashinda wanasingizia kukwamishwa na Wazungu a.k.a Mabeberu, mambo yakienda vizuri ATUKUZWE M/KITI POMBE.
Wananchi na sisi adui UJINGA ndio ametushikiria hatuwezi kureason tukiambiwa beberu tu chaliiiii.
Kuna siku nimefanya analysis ya mahitaji yangu na nikagundua 80% made in Abroad(Mabeberu), nikajiuliza hivi kama Mabeberu wanataka kuidhuru Tanzania kama tunavoaminishwa na watawala mbona ni rahisi sana haya haiitaji nguvu nyingi?
Ukienda hospital Madawa mengi na chanjo ambazo tunapata kila siku na hatuhoji wala kuzihofia made from abroad.
Awamu hii inawaattack sana hawa mabeberu wakati still tunawategemea sana kwenye mambo mengi, je hatuoni kama tunajiingiza kweny risk kubwa. Kama ni kweli wana nia mbaya na Tanzania kwa nini tusiachane nao tukajitegemea ili tuwe salama zaidi?
Wapigania Uhuru walipopewa Uhuru bandia waliwatambia Sana wakoloni kwamba tunaweza simama bila wao.Sasa waliposhindwa kuwaletea wananchi maendeleo wakaja na mfumo wa lawama kuwatupia wengine shifting the burden Kama janja na kuwaaminisha wananchi wajinga ili wasijue Kama watawala ndio chanzo cha umasikini.Mfumo wa ujamaa umekazia kwenye kulaumu tatizo na sio kutatua tatizo.School of thought mbona Asia,North Africa ya weupe mbona wao wameendelea Ina maana kule Hakuna mabeberu, ukoloni mamboleo,sijui IMF,nk.Tusiwasingizie wengine juu ya kushindwa kwetu.Neno beberu lina maana mbili,ya kwanza
1.mbuzi dume,
2.ni mtu mwenyewe tabia za uonevu ( maana inayotokana na kufananisha tabia za mbuzi dume)
Lilipata umaarufu kipindi Cha ukoloni na muda mfupi baada ya Uhuru hasa kutokana na siasa za ujamaa (Socialism) tulizokopi na kumodify siasa za mashariki (Russia).Lilitumiwa na wafuasi wake siasa za uchumi wa kijamaa kujenga hoja kuwa siasa/nadharia za uchumi wa kibeparu (Capitalism) ni wa unyonyaji na kionevu.
Kiukweli matumizi yake kwa Sasa yana ukakasi,kwani Dunia mzima imerithi mfumo wa kibepari ( unaohimiza umiliki mali binafsi,soko huria, ushindani wa kibiashara na kanuni/misingi yote ya demokrasia)
Dr Bashiru Mwalimu wangu wa sayansi ya siasa na utawala anafahamu fika siasa za ubepari na ujamaa. Nashangaa anavyotumia neno hilo (ingawa nae ni mfuasi wa itikadi za Nyerere) wakati Dunia ya ujamaa imeprove failure na hasa ikinathibishwa na udikteta,uonevu,uvunjaji haki za binadamu,uimla na uporomoshaji uchumi
Tanzaniakwani yuko wp huyo raisi mwenyewe
Ni kweli mkuu,hata ukiangalia hivi Sasa mambo mengi ni lawama na visingizio kwa mabeberu na wanaowaita wafuasi wake mabeberu.Wapigania Uhuru walipopewa Uhuru bandia waliwatambia Sana wakoloni kwamba tunaweza simama bila wao.Sasa waliposhindwa kuwaletea wananchi maendeleo wakaja na mfumo wa lawama kuwatupia wengine shifting the burden Kama janja na kuwaaminisha wananchi wajinga ili wasijue Kama watawala ndio chanzo cha umasikini.Mfumo wa ujamaa umekazia kwenye kulaumu tatizo na sio kutatua tatizo.School of thought mbona Asia,North Africa ya weupe mbona wao wameendelea Ina maana kule Hakuna mabeberu, ukoloni mamboleo,sijui IMF,nk.Tusiwasingizie wengine juu ya kushindwa kwetu.
Ukiwa mchawi ni kawaida ya kuhisi kila mtu anakurogaBinadamu wanasaikolojia wanasema tuna tabia ya kuchukia mambo yale yale ambayo sisi wenyewe tunayafanya...
Anayeita beberu wenzake, ukimchunguza anafanya yaleyale mabaya anayodai ni ya mabeberu...
Everyday is Saturday....................... 😎
Kwa kuwa beberu ni dume, wewe unayewaita hivyo ndio jike lao, au sio?Ni ujinga kudhani Mabeberu yatakupenda wewe anayekupangia mipango ya kukuua kwa ukimwi na ebola
Ujinga ni mzigo kwa Chadema
Waarabu wangekuwa wanatufanywa watumea Hadi leo, kumbuka biashara ya utumwq ilipopigwa marufuku dunia nzima, Waarabu bado walikuwa wakiuza Waafrika kwa kifichoHii dunia Ingekuwa na waafrika na waarabu pekee Ingekuwa ishaangamia
Kwani kwenye biashara ukigundua bidhaa unayotaka kununua hailipi utamwita mwizi anaetaka kukuuzia?Ni ujinga kudhani Mabeberu yatakupenda wewe anayekupangia mipango ya kukuua kwa ukimwi na ebola
Ujinga ni mzigo kwa Chadema
Ubeberu ni mfumo, kwani ukienda kwenye duka kununua kitu unahitaji mwenye duka akupende wewe kama mteja?Kama unafikiri beberu anakupenda sana kamuulize Lisu,!
Kajibebisha kwao weee mwisho wa siku wakamtelekeza saa hii anabaki kulike coment za kigofo kule twiter tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama CCM ni chama za babu na wazazi wako unahaki ya kushabikia!Bavicha kwa uongo,hata shetani anawashanga
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Well said masikini huzani amekuwa masikini kwa sababu ya matajiri kumbe hapana. Viscous cycle you are poor because ur poorNi lugha ya watu masikini kuhalalisha umasikini wao kwa kuwatupia lawama matajiri wakiaminishwa umasikini umeletwa na matajiri
Tanzania ya kwetu zote! Kwani kenya walipofunga mpaka wamewafungia Chadema?Chadema hatuwashangai mkiona mizungu meno yote nje sijui inawapa nn
Hivi yule aliyewaita wazungu ni wanaume kweli kweli wakati wa negotiation ya makinikia alikuwa Mbowe?Chadema hatuwashangai mkiona mizungu meno yote nje sijui inawapa nn
Kwa Africa umasikini umetengezwa na watawala kisera.Wafanye wawe masikini ili uwatawale.Mfano kwetu Kodi ya kuagiza gari ni ya kuwakomoa watu eti wengi wasimiliki magari.Well said masikini huzani amekuwa masikini kwa sababu ya matajiri kumbe hapana. Viscous cycle you are poor because ur poor
Ukiwa mchawi kila unahisi anakulogaUmesema jambo la msingi. Utasikia “maadui wetu”, utasikia maneno vita nk lakini huyo adui hatajwi na wala vita haijulikani inapiganwa wapi. Hata “vita ya kiuchumi” ni propaganda tu.
Dunia ya sasa hivi inataka mashirikiano!! Kuna EAC na AU na bado tuna shida kuelewana wenyewe kwa wenyewe. Siasa zinatufanya tujione “tunatafutwa na watu wabaya”, “maadui wa nje” kama vile sisi tunaonewa wivu sana!! Hii imejenga tabia ya kujihami hata kwa vitu visivosahihi kukidhani kukiri usahihi ni kushindwa vita na maadui hao walio vichwani mwa viongozi wetu.
Maadui walio kichwani wanatusumbua sana[emoji23][emoji23]