Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Mabeberu ni wimbo wa watu walioshindwa kuzishughulisha akili zao kutatua changamoto za Jamii hivo utafuta huruma ya wananchi wasibebe lawama ya kushindwa hili tumeliona hata kwa Nyerere aliposhindwa kuinua uchumi Hali akiwa na kila kitu akawatupia mzigo wa lawama mabeberu