Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Je ni elimu mbovu?

Je ni malezi mabovu?

Hii product ya shule za kata vipi?

Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!

Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.

Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀

Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!

Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!

Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani

Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
 
Nyau wewe...kula pombe, bia mbili hazijengi nyumba
 
Hawa nao ni vijana wa elf mbili
1743326699616.jpg
 
Je ni elimu mbovu?

Je ni malezi mabovu?

Hii product ya shule za kata vipi?

Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!

Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.

Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀

Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!

Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!

Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani

Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Wewe unafikiri kizazi hiki cha kuangalia sinema zetu na masizon ya mapenzi na ngumi nakujifunza uchawi yaan kufikia 2050 kizazi kitakuwa cha kizazi cha nyoka yaan bila ushetan watu hawataweza kuish
 
Back
Top Bottom