Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Vyakula mkuu. Wazungu wametuweza sana.
Siku hizi eti mazao yanaboreshwa. Zamani Bibi zetu mahindi ya mbegu walikuwa wananing'izwa jikoni. Siku hizi hamna hiyo lazima ukanunue mbegu dukani. Zile mbegu huwezi kuzirudia tena lazima ukanunue zingine mwakani. Unajua maana yake nini. Ile siraha. Badala ya kuja kututoa kwa kupigana wameamua kutupunguza nguvu na uwezo kwa njia za vyakula. Yale mahindi wameyafanya yasirudiwe ili kila mara wayatengenezee uwezo mpya wa kutuangamiza. Hata kizazi cha sasa vitoto vinavyozaliwa vidogo vidogo. Uwezo wa kuishi wa mwafrica umepungua sana tofauti na wenyewe wazungu.
Wakaja kwenye kuku. Tukaacha kuku wetu wa kienyeji tumekumbatia masasu. Unakuta kuku anataga mara 3 kwa siku. Na ksbb wanatujua ujinga wetu wakajua mahala pa kutupatia, yanatumaliza. Nilishangaa kijana ananiambia nani ale kuku wagumu?. Eti anataka wa kisasa nyama ni laini tu. Duuuh...!

Wamekuja mpaka kwenye matunda,siku hizi ni nadra kukuta parachichi la zamani. Wameleta viparachichi vya ovyo,vimaembe unapanda mwaka huu mwakani kinatoa. Na wajua ujinga wetu na sisi tunakimbilia eti haraka kumbe ni vya kutuua na kupoteza ile kinasaba bora.

Wazungu wanatamani Africa tumalizike hata kesho. Kwa ujumla tunamalizwa.
 
Sio Kweli

Hao wazee wa zamani hawakuwa hivyo unavyowasifia hapa.
 
Je ni elimu mbovu?

Je ni malezi mabovu?

Hii product ya shule za kata vipi?

Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!

Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.

Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀

Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!

Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!

Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani

Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Afu wengi ni wanasimba. Kizazi cha hovyo sana
 
1742441760042_1.jpg
utaskia mamamtu/bro una jero hapo nifosie mazingira
 
Bila kumtumikia MUNGU wakweli dunia itaangamia na kukosa maadili na huenda 2050 ikawa mwisho wa maadili 111 Shetan mpaka sasa ameshatega mifumo mingi ikiwemo cm mavazi na mitindo ya maisha kiujumla mpaka na marais wameruhusu mambo mabaya ya endele kama 18 age kujiuza angetakiwa awe shule na mifumo ya gest nyingi na kuwaletea misaada ya kondomu na ikiwemo kuruhusu sizon za nusuchi matokeo yake binti huwez kumzuia kuvaa nusu uchi
 
Hakuna wakati Dunia ilikuwa na maadili
 
Back
Top Bottom