Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Wamefanywa mbumbumbu.
Generation huandaliwa, hakuna mwenye mawazo wala fikra za kutengeneza generation walau generation moja.

Generation hutengenezwa na mfumo kupitia secret agency zake na high ranks political figures.
 
Mkuu linganisha walimu wa miaka ya nyuma walivyokuwa wakiheshimika, na walivyokuwa wakipenda kazi yao.
Wangekuwa wanapenda Kazi yao hawa vijana wa sasa wasingekuwa hivi.

Pili wanafunzi walikuwa hawazidi 45 Kwa darasa.

Population ilikuwa ndogo na shule zilikuwa chache zaidi
Linganisha na aina ya walimu tulio nao sasa, na mlundikano wa wanafunzi kwenye madarasa.

Tabia ni zilezile Mkuu
 
Umeharibu hapo uliposema siasa , ! Mkuu sio kila mtu ana hobi hizo siasa,,,, ! Mengine nakuunga mkono
 
Kila kizazi kina watu wenye akili na watu wenye samadi tupu kumkichwa so msiwaseme vijana Kwa maana wote hawapo kama mnavyosema kwa mfano Al-mukheef na Monetary doctor ni vijana wangu wadogo wanaojituma na wamekomaa kiakili kuliko hata baadhib ya wazee wa humu ambao samadi imewatapakaa kwenye vichwa vyao.

Najua wazee wenye samadi akilini wamekereka lakini ndo vile...
 
Umekaririshwa, lkn bado unao muda wa kutoa hizo takataka kichwani mwako, kuna wazazi wako smart Kila idara lkn watoto wao wameweuka mfano hakuna.

Hakuna huyo mzazi
Mtoto WA nyoka ni Nyoka.

Ukiona hivyo ujue kuna wizi umefanyika.

Unavyomuona Baba na Mama yako walivyo ndivyo wewe ulivyo kwa asilimia 75%
 
Back
Top Bottom