Fanya hivyoNgoja nimtafute...
Umewamiss mamodinyo eeh 😂😂Kila kizazi kina watu wenye akili na watu wenye samadi tupu kumkichwa so msiwaseme vijana Kwa maana wote hawapo kama mnavyosema kwa mfano Al-mukheef na Monetary doctor ni vijana wangu wadogo wanaojituma na wamekomaa kiakili kuliko hata baadhib ya wazee wa humu ambao samadi imewatapakaa kwenye vichwa vyao.
Najua wazee wenye samadi akilini wamekereka lakini ndo vile...
Alafu kunawazee pia wanatoa hoja zaajabu sana kwenye mijadala afu uzezeta wa nchi wote wanataka kuutupia Kwa watu ambao ndo wameianza robo karne.Bro.
Achana na sisi, fuata Mambo yako.
Mbona Kuna wazee wengi tu wanawapa mimba wasichana wa sekondari. Lakini sisi vijana tumepiga kimya.
Ila hata bahadhi ya vijana watisini wanakielele balaah! hasa wanapokaa na vijana wa 2000.Ila kweli,wajuajii balaa.Ukimcheki unasikitikaatu🤣🤣. Mambo ya msingi kwenye maisha hawayapi kipaumbele kabisaa,wao ni kumcheki nyashii ,simu na viwanja vikali
Acha kuwasingizia wazungu.Vyakula mkuu. Wazungu wametuweza sana.
Siku hizi eti mazao yanaboreshwa. Zamani Bibi zetu mahindi ya mbegu walikuwa wananing'izwa jikoni. Siku hizi hamna hiyo lazima ukanunue mbegu dukani. Zile mbegu huwezi kuzirudia tena lazima ukanunue zingine mwakani. Unajua maana yake nini. Ile siraha. Badala ya kuja kututoa kwa kupigana wameamua kutupunguza nguvu na uwezo kwa njia za vyakula. Yale mahindi wameyafanya yasirudiwe ili kila mara wayatengenezee uwezo mpya wa kutuangamiza. Hata kizazi cha sasa vitoto vinavyozaliwa vidogo vidogo. Uwezo wa kuishi wa mwafrica umepungua sana tofauti na wenyewe wazungu.
Wakaja kwenye kuku. Tukaacha kuku wetu wa kienyeji tumekumbatia masasu. Unakuta kuku anataga mara 3 kwa siku. Na ksbb wanatujua ujinga wetu wakajua mahala pa kutupatia, yanatumaliza. Nilishangaa kijana ananiambia nani ale kuku wagumu?. Eti anataka wa kisasa nyama ni laini tu. Duuuh...!
Wamekuja mpaka kwenye matunda,siku hizi ni nadra kukuta parachichi la zamani. Wameleta viparachichi vya ovyo,vimaembe unapanda mwaka huu mwakani kinatoa. Na wajua ujinga wetu na sisi tunakimbilia eti haraka kumbe ni vya kutuua na kupoteza ile kinasaba bora.
Wazungu wanatamani Africa tumalizike hata kesho. Kwa ujumla tunamalizwa.
Ndio unaweza ukawa upambavu wetu. Ksbb hizo mbegu za kuboreshwa urusi wamekataa isingizwe hata punje moja. Ksbb wanajua hiyo ni sirahaAcha kuwasingizia wazungu.
Wazungu hawahusiki na upumbavu wa watanzania.
Naomba usiniumize roho mimi kijana wa 2000 ndo kwanza niina miaka 25😊🤣shikamoo kakaKAMA WATU WAZIMA KWELI MBONA MTU ASOME ISSUE ZA KODI ALETEWE ZA UCHUMI, HUKU MKIVUJISHA SIRI KAMA NINYI WATU WAZIMA HASA ?
AMA NDO KUSEMA NN ?
MMI SIO WA 2000 ILA VIJANA WA MIAKA HII WANA ARI YA MAENDELEO KUZIDI WAZEE WETU, JAPO MABAYA HAYAKOSEKANI KWAO LAKINI NI VIJANA SMART
WAZEE WETU WENGI WALITEGEMEA ELIMU KAMA ZANA YA KUWAKOMBOA KUPITIA AJIRA , LAKINI SASA TUNA TATIZO LA AJIRA THOUGH VIJANA WANAJITUMA NJE YA WALICHOKISOMA
NAPITA
EUD MUBARAK IN ADVANCE KWAKO @intelligentbusnessman makutupora
Bolotoba
Huenda mtoa mada anataka tufakari Kwa uzuri ila kunamikoment humu ni ya kukashifu uzao wa 2000.Vyakula mkuu. Wazungu wametuweza sana.
Siku hizi eti mazao yanaboreshwa. Zamani Bibi zetu mahindi ya mbegu walikuwa wananing'izwa jikoni. Siku hizi hamna hiyo lazima ukanunue mbegu dukani. Zile mbegu huwezi kuzirudia tena lazima ukanunue zingine mwakani. Unajua maana yake nini. Ile siraha. Badala ya kuja kututoa kwa kupigana wameamua kutupunguza nguvu na uwezo kwa njia za vyakula. Yale mahindi wameyafanya yasirudiwe ili kila mara wayatengenezee uwezo mpya wa kutuangamiza. Hata kizazi cha sasa vitoto vinavyozaliwa vidogo vidogo. Uwezo wa kuishi wa mwafrica umepungua sana tofauti na wenyewe wazungu.
Wakaja kwenye kuku. Tukaacha kuku wetu wa kienyeji tumekumbatia masasu. Unakuta kuku anataga mara 3 kwa siku. Na ksbb wanatujua ujinga wetu wakajua mahala pa kutupatia, yanatumaliza. Nilishangaa kijana ananiambia nani ale kuku wagumu?. Eti anataka wa kisasa nyama ni laini tu. Duuuh...!
Wamekuja mpaka kwenye matunda,siku hizi ni nadra kukuta parachichi la zamani. Wameleta viparachichi vya ovyo,vimaembe unapanda mwaka huu mwakani kinatoa. Na wajua ujinga wetu na sisi tunakimbilia eti haraka kumbe ni vya kutuua na kupoteza ile kinasaba bora.
Wazungu wanatamani Africa tumalizike hata kesho. Kwa ujumla tunamalizwa.
Wengi wao wanaolaum kizazi kingine ni ksbb tu hawajui kwamba tatizo lako la leo limesababishwa na chanzo chako cha jana. Kwa hiyo kama ulivyosema hiki kizazi cha sasa kimetengenezwa na waliotangulia. Haya mambo yanategemeana. Hasa wa kulaumiwa ni wale waliotangulia. Ksbb bila waliotangulia kuzalisha au wangetaa mbegu zilizoboreshwa kama walivyokataa Russia,kizazi cha sasa kingekuwa bora sana. Maandalizi ya kesho yanaanza leoHuenda mtoa mada anataka tufakari Kwa uzuri ila kunamikoment humu ni ya kukashifu uzao wa 2000.
kama haya uliyo yaandika ni kweli 100%.
Sasa Kwa komenti kama hii hapo juu ni halali kukibeza kizazi Cha elfu2 wakati mfumo wa maisha mmeharibu wenyewe wazee 50s-70s(80s) Kwa kupigwa counter attack ya kuharibu uzao wenu.Kwahiyo mmewazaa afu mmeshindwa kuwalinda Sasa hivi mnawananga au sio
😂😂😂😂Na umalaya ni sifa yao kuu, juzi katoto cha 2008 kaniambia mambo ...😀😀😀, sikumjibu maana amepishana na mwanangu miaka 4 tuu
Job Ndungai apewe maua yake aliongea mengi wakashika la nchi kuuzwa pekee Tena ni vijana wa TISS walimchoma huko huko ukumbini kujifanya wanafuatila content kumbe wanamrekodi mzee wa watuJe ni elimu mbovu?
Je ni malezi mabovu?
Hii product ya shule za kata vipi?
Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!
Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana
Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.
Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀
Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!
Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!
Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani
Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
😂😂😂😂Matumizi ya Arv,P2 majira,mafuta ya kondomu,Toy na pombe za kisasa jumrisha na majuice ya azam yamewa waathiri....watoto wa kike wa2000 ni sugu kuliko bibi wa miaka80 mkongo/butululu umewalemaza wanasugu hujawahi Ona.
Yangu ni hayo