Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Je ni elimu mbovu?

Je ni malezi mabovu?

Hii product ya shule za kata vipi?

Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!

Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.

Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀

Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!

Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!

Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani

Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Wengi huenda club kutafuta madanga ndio maana vijana wengi ukiwaambia wachuchumae lazima atoke uharro 🌈
 
Leo nimesikiliza wosia wa baba wa Taifa akizungumzia Elimu hasa elimu ya Msingi na maana Yake.

Hotuba ilikuwa ya Mwaka 1985.
Nyerere alikuwa na akili nyingi mno.

Alikuwa anaongea huku anagonga Meza.
 
Moderators mnazingua kishenzi kichwa cha habari kilikua kinasema kwanini watoto wa buku 2000 ni mbumbumbu 🤧nyie mme change title
 
Vijana wa leo ni matokeo ya wazee wa zamani! Toka lini nchi ikawq na watu serious? Wazee wenyewe wa zamani wengi wao ndiyo wajinga wajinga. Kizazi kilichopita wangekuwa serious tungekuwa tumepata katiba mpya kitambo sana ndiyo hawa wazee walikuwa machawa wa nyerere, Andrew chenge kwa miongo kadhaa ametawala kwenye vichwa vya habari kila ufisadi lazima jina lake li apper na mafisadi wengi ni kizazi kilichopita we unategemea vijana watajifunza nini? Hii nchi ina watu wapumbavu tokea enzi na enzi wapumbavu
 
Kizazi kilichopita wamefanya nini cha maana? Hao ndiyo wametufikisha hapa tulipo aisee
 
Je ni elimu mbovu?

Je ni malezi mabovu?

Hii product ya shule za kata vipi?

Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!

Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana

Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.

Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀

Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!

Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!

Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani

Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Ukiwa kijana maskini unatakiwa utumie muda mwingi kutafuta hela.

Usiwe na mpenzi wa kudumu bali kwa mwezi mara moja unaenda kununua mwanamke wa elfu tano unatumia kondom.

Usitumie hela zako kwenye pombe na starehe nyingine.

Usioe wala kuzaa mtoto kama wewe ni kijana maskini. Tafuta hela, ukijipata utaoa na kuzaa!
 
Back
Top Bottom