King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Je ni elimu mbovu?
Je ni malezi mabovu?
Hii product ya shule za kata vipi?
Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!
Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana
Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.
Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi 😀😀
Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!
Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!
Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani
Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Malezi mabovu na pia watoto wa elfu 2 wazazi wao wamezaliwa 80's....Siku hizi watoto wanazaa watoto.