technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nyau wewe...kula pombe, bia mbili hazijengi nyumbaJe ni elimu mbovu?
Je ni malezi mabovu?
Hii product ya shule za kata vipi?
Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!
Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana
Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.
Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi šš
Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!
Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!
Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani
Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Wewe unafikiri kizazi hiki cha kuangalia sinema zetu na masizon ya mapenzi na ngumi nakujifunza uchawi yaan kufikia 2050 kizazi kitakuwa cha kizazi cha nyoka yaan bila ushetan watu hawataweza kuishJe ni elimu mbovu?
Je ni malezi mabovu?
Hii product ya shule za kata vipi?
Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!!
Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club wakati Hana kazi ya maana
Walio vyuo wanaishi 3 wa 3 geto chafu na Maisha magumu lakini ndio hawana Habari na siasa.
Wengi wao wanafikiri wakimaliza chuo watapata kazi šš
Wengi wao wanawaza kuwa machawa Kama wakina mwijaku!!
Hawajui hata uchawa wenyewe mpaka usote mtaani!!
Najiuliza 2050 tutakuwa na wanaume na wanawake wa namna gani
Unakuta kijana Hana taarifa yeyote ya nchi zaidi ya story Diamond, Simba na yanga!!
Safi sana mkuu ni kweli kabisa aiseeeWanawaza bangi, pombe, mademu na mitandao. Halafu anatokea mtu anatoboa wanamuonea wivu na kumzushia mambo mengine
HahahaNyau wewe...kula pombe, bia mbili hazijengi nyumba
Ni kweli hao wazee japo walikuwa na fursa kibao lakini ni mbumbumbu kila sehemu hadi viongozi ni wajinga wajinga tu.Hao wa 50 mpaka 90 wangekua wamefanya la maana ningwanyooshea kidole hao madogo wa 2000.
Mtoto wa nyoka ni nyoka. Nani yupo serious hii nchi?