Imam asimamishwa kazi baada ya kuoa mwanaume mwenzake

Kina Joshua na Richard mna mambo, mpaka mmejigeuza wanawake. Khaaa!
Acha kuutetea uovu we mwanamke. Umewahi kuolewa hata mara moja ukaachika?? Jiulize, uchumba ulichukua masaa mangapi au ilikuwa ndoa ya mkeka?? Iweje mwanamume rijali uliyempenda mwanamke hadi ndoa ukae naye 2 weeks bila kumjua?? Tukisema nyiye wamama wa kiislam mnafanyiwa maovu kimya kimya mnatukana watu. Basi huyu Imaam alinogewa na hayo mambo akaona aweke ndani kabisa na kuhalalisha kwa ndoa.
Ati alikuwa kavaa hijab!! Yaani hata chumbani wiki 2?? Msitufunge kamba ninyi waislam. Kama sio huyo mwenzie aliyeona wivu na kumshikisha mali za wizi tungejua lini??
Dini yenu hii ina mambo
 
Ndio michezo yao hiyo... Hapo anazuga tu baada ya kushtukiwa

Huo ndio mchezo wa Mapadri, makasisi, wachungaji nk, wa makanisa, hebu angalia hapo baadhi yao:-

Screenshot_20200113-213228.png
 
Haya yote unayoyaweka, hayampi uhalali "Sheikh" kwa hicho alichokifanya, tena ukichukulia ni Mwana-Afrika Mashariki Mwenzetu. Hao unaowataja wako mbali saana.

Hujanielewa mkuu, mimi sijasema kwamba ni halali kwa Imamu kuoa mwanaume mwenzake, juu ya yote huyo Imamu alifanya jambo hilo bila kujua (kulingana na maelezo ya post), hivyo mojakwamoja hana hatia na wala hana dhambi.

Mimi kinacho niudhi ni baadhi Christians religious fanatics kunathibisha tukio hilo na tabia za Waislamu, kwamba mambo hayo yamo katika Uislamu ndiyo maana mimi nikaleta hiyo screen shot ya orodha ya wachungaji, ambao ni "declared gays" ili aone na atambue kwamba ni wakristo ndio hushadidisha Ushoga na siyo Uislamu.
 
Hapa kuna namna, huwezi kukaa wiki nzima na mwenzako wa ndoa usijue jinsia yake, ukweli ni kuwa imam ni mla ziro, sasa anatafuta namna ya kujichomoa
 
Acha kuutetea uovu we mwanamke. Umewahi kuolewa hata mara moja ukaachika?? Jiulize, uchumba ulichukua masaa mangapi au ilikuwa ndoa ya mkeka?? Iweje mwanamume rijali uliyempenda mwanamke hadi ndoa ukae naye 2 weeks bila kumjua?? Tukisema nyiye wamama wa kiislam mnafanyiwa maovu kimya kimya mnatukana watu. Basi huyu Imaam alinogewa na hayo mambo akaona aweke ndani kabisa na kuhalalisha kwa ndoa.
Ati alikuwa kavaa hijab!! Yaani hata chumbani wiki 2?? Msitufunge kamba ninyi waislam. Kama sio huyo mwenzie aliyeona wivu na kumshikisha mali za wizi tungejua lini??
Dini yenu hii ina mambo
Usiwe poyoyo, Richard alikuwa hajifunui. Hahaha, bi Richard alifikiri yupo kwa makasisi na mapadri.
 
Hujanielewa mkuu, mimi sijasema kwamba ni halali kwa Imamu kuoa mwanaume mwenzake, juu ya yote huyo Imamu alifanya jambo hilo bila kujua (kulingana na maelezo ya post), hivyo mojakwamoja hana hatia na wala hana dhambi.

Mimi kinacho niudhi ni baadhi Christians religious fanatics kunathibisha tukio hilo na tabia za Waislamu, kwamba mambo hayo yamo katika Uislamu ndiyo maana mimi nikaleta hiyo screen shot ya orodha ya wachungaji, ambao ni "declared gays" ili aone na atambue kwamba ni wakristo ndio hushadidisha Ushoga na siyo Uislamu.
Tulia wewe huko pemba, unguja na Tanga ndio kunaongoza kwa kuingiliana kinyume na maumbile
 
Kina Joshua na Richard mna mambo, mpaka mmejigeuza wanawake. Khaaa!
Huyu imam inaelekea ni bwabwa na huyo aliyejidai kuwa bi harusi alifanya hivyo kwa makubaliano maalum ili akaishi naye. Baraza limejua hilo ndio maana wamemsimamisha kazi, kama angekuwa yeye ndiye anayekula mzigo wala wasingehangaika naye, kwani huo ni utaratibu kwa mashehe.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Back
Top Bottom