AiseeeeeUkweli ulitokea hapa:
Sio maneno yangu hayo.
Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”
Ni maneno yao
Anaendelea kusema:
"Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
View attachment 3294673
View: https://youtu.be/aewicWqkDFE?si=_SgL3VJQFVhLYn3_
Hata ukristo ni hivyo hivyo.Ila uislam ni balaa aisee, wana mafundisho ya kudharau wanawake, cha ajabu wanawake wao hawapingi kwa hofu ya kutangaziwa fatwaa na wanatii mafundisho mapotofu
Kutokubadilika ni ujinga.Wafuasi wa Mudy wanawacheka Wagalatia kwa kufanya reforms kwenye dini yao na wanajitamba dini yao haibadiliki!
wanakuambia baada ya pazia la patakatifu pa patakatifu kupasuka kila mtu alipafikia patakatifu pa patakatifu hekaluni, ndio maana siku hizi kuna wachungaji na maaskofu wanawake kwa wapentekosteHata ukristo ni hivyo hivyo.
Kipindi cha Yesu wanawake walikuwa hawahesabiwi. Na bibilia imekataza wanawake kuwa wachungaji, padri askofu au papa. Hakunaga kadinali mwanamke.
Tofauti ndogo iliyopo, wakristo wanajitajidi kujielimisha na kukubali mabadiliko,
ili hali, waislamu wao wameshupaza shingo, na kung'ang'ania mafundisho yaliyopitwa na wakati.
Ni rahisi mkachonganishwa then mkapigana ,tafuta hiyo video nzima ..Huyo anakosoa kitabu kwamba alikuja kuonesha kwamba sio kweli.Wanawake wa kiislam hasa wale wanasiasa wanakubaliana na imaam wao, muislam mwenzao?
Safi sana, wakristo wanakataa baadhi ya ujinga uliomo kwny bibilia, kama ubaguzi dhidi ya wanawake.wanakuambia baada ya pazia la patakatifu pa patakatifu kupasuka kila mtu alipafikia patakatifu pa patakatifu hekaluni, ndio maana siku hizi kuna wachungaji na maaskofu wanawake kwa wapentekoste
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿Safi sana, wakristo wanakataa baadhi ya ujinga uliomo kwny bibilia, kama ubaguzi dhidi ya wanawake.
Na waislamu wanatakiwa wafanye hivyo, siyo kila kilichoandikwa kwny Quruan ni kizuri. Vingine vya kipuuzi kabisa.