Hali ilivyo sasa ni Sayansi na teknolojia tena vyote vinaenda kidigitali. Je; huyo Imam analitambua hilo?Kwa hali ilivyosasa utasemaje kuwa huyu imam hayupo sahihi?😂😂😂
Hali ilivyo sasa ni Sayansi na teknolojia tena vyote vinaenda kidigitali. Je; huyo Imam analitambua hilo?Kwa hali ilivyosasa utasemaje kuwa huyu imam hayupo sahihi?😂😂😂
Hapan mkuu. Unaweza kwenda kuvuna yaliyokomaa kutoka mashamba mengine.ukisubiri awe mkubwa utavuna mabua
Nanukuu tofaut ya mwanamume na mwanamke iko katika maumbile yetu na majukumu yetuAmina.
Kristo Masiha alizaliwa na mwanamke, Mama Bikira Maria. Yesu alipofufuka, akina mama ndio walikuwa mashuhuda wa mwanzo.
Ukisema mwanamke ni mnyama unamaanisha kila mwanaume amezaliwa na mnyama? Kristo mwokozi wetu alizaliwa na mnyama? Kwa hiyo mnyama anazaa mwanadamu?
Utofauti wa mwanaume na mwanamke, iwe katika maumbili au majukumu ya msingi, ni kwa kadiri ya hekima ya Mungu, ili ubinadamu wetu uweze kupata ukamilifu.
Jambo la muhimu ni kuwa sote tupo sawa mbele za Mungu. Tutakuwa tofauti kutokana na matendo yetu, kama yanampendeza Mungu au kinyume chake.
Siafiki hili 👆👆. Nijuavyo mimi (labda na wengine pia) hakuna kitu afanyacho mwanaume kinachomshinda mwanamke kufanya ila mwanamme kinachomshinda ni kubeba mimba. Baas.Nanukuu tofaut ya mwanamume na mwanamke iko katika maumbile yetu na majukumu yetu
AMINA na AMINA
Kumbuka mtumish hakusema majukumu yote bali alisema majukumu ya msingiSiafiki hili 👆👆. Nijuavyo mimi (labda na wengine pia) hakuna kitu afanyacho mwanaume kinachomshinda mwanamke kufanya ila mwanamme kinachomshinda ni kubeba mimba. Baas.
Nanukuu: "..........kitachowatotautisha mbele za MUNGU ni matendo yenu na utofaut wake"Kumbuka mtumish hakusema majukumu yote bali alisema majukumu ya msingi
Lakin akaema kitachowatotautisha mbele za MUNGU ni matendo yenu na utofaut wake