Dini ya Allah hii, na ndo kaumba binadamu na shetani.Anaendelea kusema:
"Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
View attachment 3294673
View: https://youtu.be/aewicWqkDFE?si=_SgL3VJQFVhLYn3_
Ni halali kwao kuwaomba Majini maana ni ndugu zao:Iko nchi moja ya africa mashariki kuna mnyama pori anaiongoza na WAISIHARAMU WA HIYO NCHI WANAMUOMBEA APEWE ULINZI WA MAJINI😁😁😁😁😁
huko marekani kuna imaam mwanamke kwa uislam wa kimagharibi, anaswalisha kibishibishi hivyo hivyo tu katinga jeans lake la kubana na swala inafanyikaSafi sana, wakristo wanakataa baadhi ya ujinga uliomo kwny bibilia, kama ubaguzi dhidi ya wanawake.
Na waislamu wanatakiwa wafanye hivyo, siyo kila kilichoandikwa kwny Quruan ni kizuri. Vingine vya kipuuzi kabisa.
Nimecheka sana mkuu.Hua nashangaa wanawake wanaamini dini kama hiyo wakati waume zao wameahidiwa wanawake wengine peponi huku wanawake wakiwa hawana ahadi yoyote huko peponi.
Usikute na wao wameahidiwa wanaumee 100Hua nashangaa wanawake wanaamini dini kama hiyo wakati waume zao wameahidiwa wanawake wengine peponi huku wanawake wakiwa hawana ahadi yoyote huko peponi.
Dini ina ubaguzi wa wazi kabisaa.Hua nashangaa wanawake wanaamini dini kama hiyo wakati waume zao wameahidiwa wanawake wengine peponi huku wanawake wakiwa hawana ahadi yoyote huko peponi.
😂😂😂😂😂Iko nchi moja ya africa mashariki kuna mnyama pori anaiongoza na WAISIHARAMU WA HIYO NCHI WANAMUOMBEA APEWE ULINZI WA MAJINI😁😁😁😁😁
Unataka kusema faiza ni mnyama? Huyu sheikh mshenzi sana.
Hiyo sio kazi yake tafuta wewe uweke hapa.Ni rahisi mkachonganishwa then mkapigana ,tafuta hiyo video nzima ..Huyo anakosoa kitabu kwamba alikuja kuonesha kwamba sio kweli.
Mbona ni hoja cheap sana 🤣🤣wanaokoteza ,sema uhasama ni mbaya sana ..Imagine mtu anadanganya ili iweje?
Ndio dini ya uislamu inavyofundisha hivyo sasa unapingana na Mafundisho ya wenye dini yao au?Ila uislam ni balaa aisee, wana mafundisho ya kudharau wanawake, cha ajabu wanawake wao hawapingi kwa hofu ya kutangaziwa fatwaa na wanatii mafundisho mapotofu