Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

Status
Not open for further replies.
Huyo dingi ni mpuuzi, kwa iyo yeye kazaliwa na ng'ombe, yaani mama yake aliemtungia mimba ni ng'ombe?

Huyu ni wa kumnasa vibao.
Ana maana baba yake alimwingilia mnyama ndio akazaliwa yeye.
 
Haya wenyewe wenye dini Yao na utamaduni wao wamesema....sijui maimamu wa buza watatoa tamko gani
Nadhani wameshikwa kigugumuzi huko waliko.
 

Mjuni umepotosha.
Biblia hakuna mahali popote ilipotamka kuwa mwanamke ni sawa na mnyama, bali mwanamke amewekwa chini ya mwanaume. Na hata hapo kale, nyakati za Yesu, mwanamke aliwekwa kwenye kundi moja na watoto. Ndiyo maana hata kwenye kuhesabiwa, utasikia, walikuwepo watu elfu 5, bila ya kuhesabu wanawake na watoto. Ina maana wanawake na watoto ni watu, bali hawakuhesabiwa kwa sababu hawakuwa na status kama ya mwanaume.

Kwenye andiko jingine kwenye biblia, linasema kuwa, juu ya mwanaume kuna utukufu wa Mungu, hivyo mwanaume aingiapo hekaluni asivae chochote kichwani ili kuheshimu mamlaka yaliyo juu yake, mwanamke afunike kichwa chake kwa sababu juu ya mwanamke kuna mumewe, na mumewe hana utukufu kama ule wa Mungu. Halafu kuna andiko linasema, enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda Kanisa hata akautoa uhai wake ili alitakase, enyi wake watiini waume zenu; andiko linaendelea na kusema, "LAKINI WOTE NI SAWA MBELE ZA MUNGU". Tena kwa andiko hilo, mwanaume ameamriwa kumpenda mke wake, hata kuwa tayari kufa kwaajili ya kumtetea.
 
Ila uislam ni balaa aisee, wana mafundisho ya kudharau wanawake, cha ajabu wanawake wao hawapingi kwa hofu ya kutangaziwa fatwaa na wanatii mafundisho mapotofu
Ukiuliza wanasema ni mafundisho ya Allah😄
 
Uzuri ni kwamba 90% ya Wagalatia hawazingatii haya kwa sasa, wanamuhesibu mwanamke kama binadamu sawa na mwanaume.
 
Uzuri ni kwamba 90% ya Wagalatia hawazingatii haya kwa sasa, wanamuhesibu mwanamke kama binadamu sawa na mwanaume.
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
 
Maana yake ni kwamba Yesu alikua Mwanaume na hakuchagua hata Mwanamke mmoja kati ya mitume wake, Yakobo alikua na Watoto wa kike pia ila katika Makabila 12 ya Yakobo hakuna lililoongozwa na mwanamke km lipo litaje
 
Yuko sahihi kwa wanawake wa kiislamu akina FaizaFoxy maana kutwa hushobokea huu ushetani wa muarabu ilhali wenyewe hunyanyaswa sana.
Dini gani ambayo muasisi wake aligegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa na bado wanamuabudi hadi leo
Duh!!! Miaka tisa? Mtoto wa miaka tisa naye hugegedwa? Unamjua mtoto wa miaka tisa kweli
 
Haya wenyewe wenye dini Yao na utamaduni wao wamesema....sijui maimamu wa buza watatoa tamko gani
Nadhani wameshikwa kigugumuzi huko waliko.
Mashekhe Wakuu na Maimamu wa Msikiti wa Madina kutoka Buza watakuja kuunga mkono hii hoja kua ni kweli sio uongo maana hata Mungu hakua Fala kuumba mwanaume kwanza kisha akaumba Mwanamke awe chini ya Mwanaume km alivyompa mamlaka juu ya Wanyama wote wa Mwituni na hapohapo bado akamsaliti
 
Hawa inatakiwa wakimbiwe na hao wanaowaita ni wanyama ili wamlilie aliyewaletea tuone kama watapewa wengine.
 
Ana maana baba yake alimwingilia mnyama ndio akazaliwa yeye.

Wapumbavu pia wanazeeka. Kwa uzee huo ipo siku atashindwa kujitawaza hata kujongea, ndo atahitaji msaada wa mwanamke sasa. Na hizo ibada anaweza kuja kushindwa kuzifanya, wala kukaa kibra kwa uzee mwingi. Ndo ataheshimu nature.
 
Wapumbavu pia wanazeeka. Kwa uzee huo ipo siku atashindwa kujitawaza hata kujongea, ndo atahitaji msaada wa mwanamke sasa. Na hizo ibada anaweza kuja kushindwa kuzifanya, wala kukaa kibra kwa uzee mwingi. Ndo ataheshimu nature.
Inasikitisha mnooo
 
Huu ni msiba mzito kwa wanadamu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…