Asante sana kwa elimu nzuriMjuni umepotosha.
Biblia hakuna mahali popote ilipotamka kuwa mwanamke ni sawa na mnyama, bali mwanamke amewekwa chini ya mwanaume. Na hata hapo kale, nyakati za Yesu, mwanamke aliwekwa kwenye kundi moja na watoto. Ndiyo maana hata kwenye kuhesabiwa, utasikia, walikuwepo watu elfu 5, bila ya kuhesabu wanawake na watoto. Ina maana wanawake na watoto ni watu, bali hawakuhesabiwa kwa sababu hawakuwa na status kama ya mwanaume.
Kwenye andiko jingine kwenye biblia, linasema kuwa, juu ya mwanaume kuna utukufu wa Mungu, hivyo mwanaume aingiapo hekaluni asivae chochote kichwani ili kuheshimu mamlaka yaliyo juu yake, mwanamke afunike kichwa chake kwa sababu juu ya mwanamke kuna mumewe, na mumewe hana utukufu kama ule wa Mungu. Halafu kuna andiko linasema, enyi waume wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda Kanisa hata akautoa uhai wake ili alitakase, enyi wake watiini waume zenu; andiko linaendelea na kusema, "LAKINI WOTE NI SAWA MBELE ZA MUNGU". Tena kwa andiko hilo, mwanaume ameamriwa kumpenda mke wake, hata kuwa tayari kufa kwaajili ya kumtetea.
TunawasubiriiMashekhe Wakuu na Maimamu wa Msikiti wa Madina kutoka Buza watakuja kuunga mkono hii hoja kua ni kweli sio uongo maana hata Mungu hakua Fala kuumba mwanaume mwanza kisha akaumba Mwanamke awe chini ya Mwanaume km alivyompa mamlaka juu ya Wanyama wote wa Mwituni na hapohapo bado akamsaliti
MUNGU awasaidieSasa hawa ndugu zako wanajichukulia mkuu.
Watu wa ovyo sanaaa🤢🤮
Kutokuwepo kwa Haki Sawa
Hakika!Wapumbavu pia wanazeeka. Kwa uzee huo ipo siku atashindwa kujitawaza hata kujongea, ndo atahitaji msaada wa mwanamke sasa. Na hizo ibada anaweza kuja kushindwa kuzifanya, wala kukaa kibra kwa uzee mwingi. Ndo ataheshimu nature.
Ukiuliza wanasema ni mafundisho ya Allah😄
Inaogopesha pia, kwa kweli. DuuhInasikiitisha vibaya , unakuta fala kama huyo anamuona mama yake kama fisi flani hivi🤔
Kamwe hakulinganishwa na ng'ombe au mbuziKutokuwepo kwa Haki Sawa
Wanawake wengi hawakuhesabiwa katika hesabu za watu (kama kwenye hesabu za Waisraeli – Hesabu 1:2).
Urithi wa mali ulikuwa kwa wanaume tu (hadi binti za Selofehadi walipotoa kesi yao – Hesabu 27:1-11).
2. Kuchukuliwa kama mali ya wanaume
Katika agano la kale, wanawake mara nyingi walionekana kama mali ya baba au waume zao (Kutoka 20:17).
Kama imam wa Iran kasema hivyo unadhani hawa wa hapa watapingana nae?Nasubiria tamko la ma imam na ma sheikh wa bakwata
Kauli unayosema imetolewa na “mamlaka wa Iran” kwamba "Wanawake ni wanyama walioumbwa na Allah ili kutumika na wanaume", si kauli inayojulikana rasmi wala kuthibitishwa katika vyanzo vya kuaminika vya Kiislamu wala vya serikali ya Iran. Aidha, haiko katika Qur’an, hadithi sahihi, wala katika mafundisho ya Kiislamu yanayoheshimu utu wa mwanadamu.Anaendelea kusema:
"Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
View attachment 3294673
View: https://youtu.be/aewicWqkDFE?si=_SgL3VJQFVhLYn3_
"Hakika Mimi sitapoteza kazi ya mwenye kutenda mema katika nyinyi, awe mwanamume au mwanamke – kwani ni nyinyi kwa nyinyi."
(Surat Aal Imran 3:195)
"Mwenye kutenda mema, mwanamume au mwanamke, naye ni Muumini – tutamhuisha maisha bora, na tutawalipa ujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda."
(Surat An-Nahl 16:97)
"Na miongoni mwa ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutoka nafsi zenu ili mpate utulivu kwao, na akaweka kati yenu mapenzi na huruma."
(Surat Ar-Rum 30:21)
"Enyi mlioamini! Jiokoeni nafsi zenu na jamaa zenu dhidi ya Moto..."
(Surat At-Tahrim 66:6)
"Peponi iko chini ya nyayo za mama."
(Musnad Ahmad, Sahih)
Mtume ﷺ alisema:
"Yeyote mwenye mabinti wawili au zaidi, akawalea vyema, basi watamkinga na Moto wa Jahannam."
(Sahih Muslim 2631)
"Wanawake ni ndugu wa wanaume."
(Sunan Abu Dawood 236)
Na huko napo watapewa wanaume wapya kila mtu ajibwadu kwa nafasi yakeMtu apigwe miti hadi afe😂.
Hao wanaume itakua ni species nyingine ama? Maana hawa wa Duniani wameahidiwa wanawake wapya, ambao sijui wanaishi Dunia gani ama wataumbwa upya.
Halafu akipata festula arudishwe kwa ng'ombe aliyemzaa kwa talaka moja ajifunze kuishi na mume ili zee lioe mwingine.
Kauli unayosema imetolewa na “mamlaka wa Iran” kwamba "Wanawake ni wanyama walioumbwa na Allah ili kutumika na wanaume", si kauli inayojulikana rasmi wala kuthibitishwa katika vyanzo vya kuaminika vya Kiislamu wala vya serikali ya Iran. Aidha, haiko katika Qur’an, hadithi sahihi, wala katika mafundisho ya Kiislamu yanayoheshimu utu wa mwanadamu.
Ukweli wa Dini ya Uislamu Kuhusu Wanawake:
Uislamu unafundisha kuwa:
- Wanawake na wanaume wameumbwa kwa lengo moja: kumwabudu Allah.
- Wote wana haki ya elimu, heshima, mali, kazi, na thawabu kwa matendo yao mema.
- Qur’an inasema:
Kuhusu Kauli Tatanishi Kama Hiyo:
- Huenda ni propaganda, tamko la mtu binafsi, au kauli iliyochukuliwa nje ya muktadha.
- Ni muhimu kuhakikisha chanzo chake ni sahihi kabla ya kuiamini au kuitangaza.
- Uislamu hauwafanyi wanawake kuwa wanyama, bali unawapa heshima kubwa kama mama, dada, wake, na binti.
Kauli hiyo haikubaliki kidini, kimaadili, wala kibinadamu.
Hakika Uislamu umempa mwanamke heshima kubwa na nafasi ya juu katika jamii. Kuna aya nyingi za Qur'an na Hadithi za Mtume Muhammad ﷺ zinazomuelezea mwanamke kwa hadhi, heshima na thamani kubwa. Hizi ni baadhi yake:
📖 Aya za Qur'an Zinazomfadhilisha Mwanamke
- Usawa katika thawabu na adhabu:
🔹 Hii inaonyesha kuwa thawabu na hadhi kwa Allah hazina ubaguzi wa kijinsia.
- Mwanamke ni kipenzi cha familia na jamii:
🔹 Wanawake wanatajwa kuwa sababu ya utulivu, upendo na huruma katika ndoa.
- Haki ya Elimu na Malezi:
🔹 Hii inasisitiza jukumu la mwanamke pia kama mlezi wa familia, hasa katika malezi ya kiroho na maadili.
📜 Hadithi za Mtume ﷺ Zinazomuheshimu Mwanamke
- Mwanamke kama mama:
🔹 Hii hadithi inaonyesha heshima kubwa kwa mama kiasi kwamba itikio lake linahusishwa moja kwa moja na Pepo.
- Haki ya kulelewa kwa heshima:
🔹 Inahamasisha heshima na ulezi wa wasichana kama ibada yenye malipo makubwa.
- Usawa wa kiroho na thamani:
🔹 Hii hadithi inaweka msingi wa usawa wa kiutu na kiroho kati ya mwanamume na mwanamke.
🔚 Hitimisho:
Uislamu haukumdhalilisha mwanamke bali ulimuinua kutoka hali ya kudharauliwa (kama ilivyokuwa kabla ya Uislamu) hadi kuwa mhimili wa familia na jamii. Kupitia aya na hadithi hizi, tunaona kuwa mwanamke ana haki, heshima, wajibu na nafasi kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu na katika jamii.
Mwanamke kwangu siwezi kumpa treatment sawa na mwanaume.Hua nashangaa wanawake wanaamini dini kama hiyo wakati waume zao wameahidiwa wanawake wengine peponi huku wanawake wakiwa hawana ahadi yoyote huko peponi.
Hua najiuliza ama wanawake wataenda peponi kukaa kama mapambo huku wakiangalia waume zao wakuchakata wanawake wengine warembo 72. Kazi yao itakua ni nini, kufua mashuka ama?
Sasa wewe unakaa kabisa kuwasikiliza wairan watu wa hovyo kabisaKamwe hakulinganishwa na ng'ombe au mbuzi