Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

Status
Not open for further replies.
Mwanamke kutoruhusiwa kufundisha
(1 Timotheo 2:11–12)
“Mwanamke na ajifunze kwa utulivu... Simpi ruhusa mwanamke kufundisha, wala kuwa na mamlaka juu ya mwanaume...”

Kumlazimisha mwanamke kuolewa na mbakaji wake
(Kumbukumbu 22:28–29)
Mbakaji anatakiwa amlipe baba wa msichana na amuoe – bila nafasi ya kumtaliki!

Mwanamke mwenye hedhi kutajwa kuwa najisi
(Walawi 15:19)
“Atakuwa najisi siku saba; mtu yeyote atakayemgusa atakuwa najisi...”

Mwanamke kubeba lawama ya dhambi ya kwanza
(1 Timotheo 2:14)
“Si Adamu aliyedanganywa, bali mwanamke...”

Mwanamke kupimwa uzinzi kwa kunyweshwa maji ya laana
(Hesabu 5:11–31)
Hakuna kipimo kama hicho kwa mwanaume – ni mwanamke pekee anayepitishwa kwenye majaribio haya.

Thamani ya mwanamke ni ndogo kuliko ya mwanaume
(Walawi 27:3–4)
Mwanamume: shekeli 50. Mwanamke: shekeli 30. Hii ni kama “bei” ya mtu aliyeweka nadhiri.


Wanawake kutazamwa kama mali ya vita
(Kumbukumbu 21:10–11)
Mwanamume ana ruhusa ya kumchukua mwanamke mateka na kumfanya mke – akimpenda.

Mtazamo wa kuwa mwanamke bora ni yule mtiifu tu
(Methali 31:10–31)
Mwanamke bora ni yule anayefanya kazi za nyumbani, anamlisha mumewe, na si anayejitegemea wala kutoa maamuzi binafsi.
 
Ongeza na ile anayotakiwa kuvaa ushungi kila anapoingia nyumba ya Ibada yaan marufuku kuonyesha unywele isipokua kwa mumewe tu wawapo ndani kwao
 
Mkiambiwa uislam ni dini inayonyanyasa wanawake mnachukulia poa....... kwenye uislam wanawake wanachukuliwa kama chombo cha starehe........... ndio maana anaweza kuozeshwa hata akiwa na miaka 8................
Daa!😢
 
Sasa wewe unakaa kabisa kuwasikiliza wairan watu wa hovyo kabisa
Si ndio wenye Waislamu wengi dunia nzima hao au wewe unasemaje hao ndio wenye dini yao ya Shia (Uislamu wenyewe) unapingana nao au?
 
Si ndio wenye Waislamu wengi dunia nzima hao au wewe unasemaje hao ndio wenye dini yao ya Shia (Uislamu wenyewe) unapingana nao au?
  1. Globally, Sunni Muslims constitute the majority of the Muslim population, estimated at around 85-90%, while Shia Muslims make up approximately 10-15%.
  2. The majority of Muslims in Iran are Shia, with an estimated 90-95% following the Shia branch of Islam, while around 5-10% are Sunni.
  3. Sunni: Relies on the Quran, the Sunnah (Prophet Muhammad's teachings and practices), and the consensus of the Muslim community (Ijma) for guidance.
  4. Shia: Also relies on the Quran and Sunnah, but places a strong emphasis on the teachings and authority of the Imams, whom they consider divinely guided
  5. Shia clerics hold significant religious and political power in Iran, influencing the country's laws, policies, and foreign relations
NB; Shia wanawa treat Suni as kafiri and vise versa😳
 
Maana yake ni kwamba Yesu alikua Mwanaume na hakuchagua hata Mwanamke mmoja kati ya mitume wake, Yakobo alikua na Watoto wa kike pia ila katika Makabila 12 ya Yakobo hakuna lililoongozwa na mwanamke km lipo litaje


Hilo lipo wazi, ndiyo maana hata watoto wetu, iwe ni Afrika au Ulaya au America, jina la Baba ndiyo linalorithiwa na watoto wote, na kuwa jina lao la pili.

Hata katika mafundisho ya dini zote, mwanaume ndiye Baba na Kiongozi wa familia.

Kanisa ni familia ya Mungu. Kiongozi wake ni Baba, ambaye ni mwanaume.

Umenena kweli kuwa Yesu hakuwahi kumchagua mwanamke kuwa mtume, wala wale mitume wa mwanzo hawakuwahi kuwawekea mikono wanawake kuwa mitume, japo ni kweli kuwa kulikuwa na wanawake wacha Mungu wa kweli walioshirikiana na mitume kuhakikisha ujumbe wa Mungu unawafikia wanadanu wote. Tofauti hizi za majukumu ambazo zipo tangu kuumbwa kwa mwanadamu, ndizo zinakamilisha ubinadamu wetu. Hata tuhangaike vipi, hatutaweza kufanikiwa kumfanya mwanamke awe sawasawa na mwanaume kwa kila kitu. Sijasikia kama kuna jamii yoyote imefanikiwa kumfanya mwanaume awe anazaa watoto, au mwanamke amemfanya mwanaume atunge mimba. Haya yote yanadhihirisha kuwa Mungu alituumba tofauti ili tutegemeane katika ukamilifu wa ubinadamu wetu. Ulimwengu haupo bila mwanamke, halikadhalika bila ya mwanaume.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…