Mwee!Hebu tuwasikie wanawake wenyewe kwenye hili wanasemaje??Anaendelea kusema:
"Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
View attachment 3294673
View: https://youtu.be/aewicWqkDFE?si=_SgL3VJQFVhLYn3_
Siyo 8 ni 6. Usipotoshe na kutaka kuharibu dini ya amani.Mkiambiwa uislam ni dini inayonyanyasa wanawake mnachukulia poa....... kwenye uislam wanawake wanachukuliwa kama chombo cha starehe........... ndio maana anaweza kuozeshwa hata akiwa na miaka 8................
Amina.Asante sana kwa elimu nzuri
Astaghafilulah. Mtume aswaliwe jamani ana mambo mengi Jagina hebu njoo utoe neno nipo very iddle nahitaji mtu wa kuelimishana naye kuhusu UislamAnaendelea kusema:
"Wanawake si tofauti na ng’ombe, kondoo, farasi, au nyumbu. Mungu aliwaumba wanawake wafanane na wanadamu ili wasiwaogope wanaume.”
View attachment 3294673
View: https://youtu.be/aewicWqkDFE?si=_SgL3VJQFVhLYn3_
Wote rika hilo bado wanachezea visoda, wanacheza mdako na rede - Hawatofautiani.Siyo 8 ni 6. Usipotoshe na kutaka kuharibu dini ya amani.
Ndo anakuwa na kitu mnacho, kinalia kama umefungua kisoda ndo maana Muddy akaona atest hiyo issue hivyoWote rika hilo bado wanachezea visoda, wanacheza mdako na rede - Hawatofautiani.
Kwani mwanamke sio mnyama au ww unataka kubisha tuImam gani anayewadhalilisha wanawake ambao ni miongoni mwa waamini wake? Je, huko Firdaus hao anaokazania kwenda kupewa kama thawabu mabikra 72 sio wanawake au ndo punda halisi? Imam awe na ADABU na aufiche ufidhuli wake.
Nakazia hoja. Huyo Imam angekuwa jasiri basi na akanushe hadharani pia kwamba yy hakuzaliwa na mwanamke ndo tungemwelewa.Amina.
Kristo Masiha alizaliwa na mwanamke, Mama Bikira Maria. Yesu alipofufuka, akina mama ndio walikuwa mashuhuda wa mwanzo.
Ukisema mwanamke ni mnyama unamaanisha kila mwanaume amezaliwa na mnyama? Kristo mwokozi wetu alizaliwa na mnyama? Kwa hiyo mnyama anazaa mwanadamu?
Utofauti wa mwanaume na mwanamke, iwe katika maumbili au majukumu ya msingi, ni kwa kadiri ya hekima ya Mungu, ili ubinadamu wetu uweze kupata ukamilifu.
Jambo la muhimu ni kuwa sote tupo sawa mbele za Mungu. Tutakuwa tofauti kutokana na matendo yetu, kama yanampendeza Mungu au kinyume chake.
Imamu ameongea mimi ni nani nimpinge Imamu?sasa ubaya upo wapi?
bakini na imani zenu.
Kwa hio unaona ni jinsi gani Imamu yupo sahihi au ameongopa Quran haisemi hivyo?Kwa hali ilivyosasa utasemaje kuwa huyu imam hayupo sahihi?😂😂😂
Duh! Hivi lakini mbona wanawake bado wameendelea kujazana huko -au kuna ka-ukweli fulani au labda wanafichwa hawaambiwi hayo?dini ya kiislamu itakuwa nzuri sana kama Mkiacha kuwanyanyasa wanawake na mkiifuta hii mistari mibaya kwa wanawake kwenye quran, hadith na sunnah
- Wanawake wana upungufu katika akili zao - Sahih al-Bukhari 304
- Muhammad anawafananisha wanawake na mbwa na punda - Sahih al-Bukhari 511
- Mwanaume anaweza kubadilisha mke wake kwa mwingine - Quran 4:20
- Wanawake ni wenye upotovu kama mbavu. Ukijaribu kuwanyoosha, watavunjika. Hivyo, ikiwa unataka kunufaika nao, fanya hivyo wakiwa bado na upotovu wao. - Sahih al-Bukhari 7.62.114
- Wake hawawezi kamwe kufanya vya kutosha kuonyesha shukrani kwa waume zao - Wasifu wa Muhammad na Ibn Ishaq, ukurasa wa 644, aya ya pili
- Wanawake wanalinganishwa na watumwa na ngamia - Hadithi 8.73.68 ya Bukhari
- Kama mtu angeweza kusujudu mbele ya mwingine isipokuwa Allah, basi mwanamke angepaswa kumsujudia mume wake - Hadithi ya Abu Dawud 11.2135
- Muhammad aliwachukulia wanawake kama uovu na alilinganisha ndoa na kununua mtumwa au ngamia - Abu Dawood, Kitabu cha 11, Namba 2155
- Muhammad anawalinganisha wanawake na mashetani - Sahihi Muslim: Kitabu 008, Namba 3240
ukisubiri awe mkubwa utavuna mabuaImamu ameongea mimi ni nani nimpinge Imamu?
Hata popo ni Ndege ila ni Mamalia vile vile yaan mnyama mwenye mabawa ananyonyesha km NguruweKwani mwanamke sio mnyama au ww unataka kubisha tu
Si hata huyo Imam katamka kabisa na kaandika hivyo? Sasa yy inakuwaje kwa mfano.Andika hivi kule X halafu m-tag Samia kama kesho hujaamkia Ununio tena ushukuru kama utakuwa hata na pumzi ya kutoa direction nduguzo walipo