Imam wa Iran: "Wanawake ni wanyama walioumbwa na allah ili kutumika na Wanaume"

Status
Not open for further replies.
Kwa hali ilivyosasa utasemaje kuwa huyu imam hayupo sahihi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hali ilivyo sasa ni Sayansi na teknolojia tena vyote vinaenda kidigitali. Je; huyo Imam analitambua hilo?
 
Nanukuu tofaut ya mwanamume na mwanamke iko katika maumbile yetu na majukumu yetu

AMINA na AMINA
 
Nanukuu tofaut ya mwanamume na mwanamke iko katika maumbile yetu na majukumu yetu

AMINA na AMINA
Siafiki hili πŸ‘†πŸ‘†. Nijuavyo mimi (labda na wengine pia) hakuna kitu afanyacho mwanaume kinachomshinda mwanamke kufanya ila mwanamme kinachomshinda ni kubeba mimba. Baas.
 
Siafiki hili πŸ‘†πŸ‘†. Nijuavyo mimi (labda na wengine pia) hakuna kitu afanyacho mwanaume kinachomshinda mwanamke kufanya ila mwanamme kinachomshinda ni kubeba mimba. Baas.
Kumbuka mtumish hakusema majukumu yote bali alisema majukumu ya msingi

Lakin akaema kitachowatotautisha mbele za MUNGU ni matendo yenu na utofaut wake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…