Imani Kajula CEO Mpya Simba

Imani Kajula CEO Mpya Simba

Sijui uongozi wa Sasa una haraka gani wakati Kuna uongozi mpya unachaguliwa hivi karibuni Kuna hatari kama uongozi utakuja tofauti wakatofautiana.
Kuna kipindi alikuwa anahusika na jezi za Simba Kuna hatari ya mgongano wa maslahi wakati wa kutangaza tenda za jezi.
Tutanza kuona tena jezi zetu feki nyingi zikiuzwa hovyo hovyo na shaffih dauda
 
Ndio utaratibu ulivyo...anakuwa kwenye kipindi cha majaribio akionekana amemudu anathibitishwa na anapewa mkataba wa muda mrefu.
Na CEO aliyeng'atuka; Barabara Gonzalez naye alipewa mkataba wa aina hii?
 
Sijui uongozi wa Sasa una haraka gani wakati Kuna uongozi mpya unachaguliwa hivi karibuni Kuna hatari kama uongozi utakuja tofauti wakatofautiana.
Kuna kipindi alikuwa anahusika na jezi za Simba Kuna hatari ya mgongano wa maslahi wakati wa kutangaza tenda za jezi.

Uongozi ushapangwa kitambo
Bado kutangazwa siku ya uchaguzi

Murtaza mangungu atasalia kua mwenyekiti
 
1674741514167.png

Back
Top Bottom