Imani kwa wanaume imekwisha

Tusubiri sensa iishe tupate takwimu sahihi za idadi ya wanaume na wanawake ndiyo tutajua mbivu na mbichi
 
Ukuaji wa miji ndo tatizo watu kupenda kila fursa ili wapate pesa.
 
Toka jamaa akimbie kwa tukio lako lile, naona Sasa umeamua utupondee kiaina.
 
Vipi kuhusu matom boy bibie? wanatuchukulia pisi lakini pia hao hao pia chakula chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…