Imani kwa wanaume imekwisha

Imani kwa wanaume imekwisha

Si mnataka haki sawa?

Tunapoelekea hii sheria ya kumlinda na kumtetea mwanamke itapotea, itaibuka sheria ya kumlinda na kumtetea shoga

Nadhani unaona nchi za wenzetu, mashoga wanaandamana kabisa kutetea haki zao, na serikali zao zinawalinda sana

Ndo yale maswala ya sodoma na gomora yanarudi, ambapo mwanaume shoga atakuwa na thamani kubwa sana kuliko mwanamke.

New world order!

Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini siye😱
 
Ungesema hivii wanaume sikuhizi hawana muda na wanawake ningekuelewa.

Na kiukweli wanaume wameamua kutafuta furaha na starehe sehemu nyingine kiufupi wanawake Hampati ile attention mlio kuwa mmeizoea kutoka kwa wanaume.

Tatizo mlilinga sana hadi wanaume wakawa sugu wa ugwadu yaani saizi wanaume wanaweza wakakaa muda mrefu bila Kuonja mbususu na mambo yakaenda.

Na mlisahau katika haya Maisha mwanamke ndio anamuhitaji mwanaume Kipita maelezo na mwanaume huyo ndio hana muda na nyie sasa.[emoji2][emoji2][emoji2]
🤣🤣🤣🤣🤦
 
Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea, eti hawaolewi kwa sababu wanaume wanawanyang'anya wanaume zao, hiyvo kumekuwa na uhaba wa wanaume[emoji15]. Jambo lingine, eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni, ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni wanakulana yaani wapenzi!

Barabarani pia wanaume wanaoongozana wawili wawili au wamekaa sehemu tulivu(bar) pamoja, eti wengi wao ni wapenzi. Nimewaza nikajisemea, hi dunia amani na utulivu hakuna tena. Dunia imekuwa uwanja wa vita[emoji26]. Aisee, wanaume mnaoliwa acheni basi hizo mambo mnachafua wenzenu tafadhali.
Hii hali hata kama imeshaingia pakubwa hapa Afrika lakini pia siyo kwwa maneno hayo,tutaacha michongo sasa na washikaji au kubadilishana mawazo ya maisha kwa sababu ya mashoga, hali hii iko sana huko mwambao wa bahari, lakini mimi binafsi bado nalaumu serikali kwa sababu naamini kupitia wao Mashoga na Masagaji yanaweza yakapotea ktk uso wa nchi, huko South Africa yamewin mbaya kabisa yaani yako wazi wazi
 
Tanzania kwenyewe mbona hawajifichi mkuu
 
Back
Top Bottom