Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
- Thread starter
- #141
Masikini siye😱Si mnataka haki sawa?
Tunapoelekea hii sheria ya kumlinda na kumtetea mwanamke itapotea, itaibuka sheria ya kumlinda na kumtetea shoga
Nadhani unaona nchi za wenzetu, mashoga wanaandamana kabisa kutetea haki zao, na serikali zao zinawalinda sana
Ndo yale maswala ya sodoma na gomora yanarudi, ambapo mwanaume shoga atakuwa na thamani kubwa sana kuliko mwanamke.
New world order!
Sent using Jamii Forums mobile app