Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea, eti hawaolewi kwa sababu wanaume wanawanyang'anya wanaume zao, hiyvo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳. Jambo lingine, eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni, ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni wanakulana yaani wapenzi!
Barabarani pia wanaume wanaoongozana wawili wawili au wamekaa sehemu tulivu(bar) pamoja, eti wengi wao ni wapenzi. Nimewaza nikajisemea, hi dunia amani na utulivu hakuna tena. Dunia imekuwa uwanja wa vita😥. Aisee, wanaume mnaoliwa acheni basi hizo mambo mnachafua wenzenu tafadhali.