Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Hiko mwanzonišDu sijahiona hioš¤£š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiko mwanzonišDu sijahiona hioš¤£š¤£
Poor you!Ni makosa ya kiuandishi tu boss
Basi mwenye makosa mimiUmetumia njia isiyo sahihi kutoa msaada. Ni vyema baada ya kupata hiyo taarifa kutoka kwa mtoto ungechukua hatua ya kumfuata mzazi na ukamuambia kuhusu nia yako ya kutaka kutoa msaada, kama angekubali ndiyo ungetoa huo msaada.
Nakubaliaba nawe100%imani potofu ndio umaskini wenyewe.Kuna mtoto wa jirani mtaa wa pili kamezoea kila nikipita kakiniona lazima kanipungie,japo hajawai kuniona hanakwahana basi tu ivo kakiona gari kanaikimbilia na kuipungia. Sasa leo nimepita kwa mguu nilivokaona nikakaita, nikamuuliza jina na ufaham wa hapa na pale. Lkn kakaniomba ela kakadai kana njaa hawajala,mama yao kaenda kwenye kibaruani(ni mtoto km miaka minne ivi).
Basi nikamuita mkubwa wake ambae ana umri km miaka 8,9 ivi nikaenda nako dukani nikamuemelea mchele, sukari, mafuta, chumvi, na mahitaji muhimu ya kula. Nikampandisha kwenye boda ninaemfahamu na kunifahamu akampereka nyumbani.
Nashangaa boda huyo ananipigia simu eti kamkuta mamake mtoto karudi yuko nyumbani, amekataa kupokea huo mzigo eti siku izi watu wanachukua nyota za watu kupitia misaada izo, kanamwambia boda arudi navyo. Kwaio ananihisi huo msaada wangu una lengo lake.
Kwa mazingira ya hiyo familia na hivyo huyo mtoto alivyonambia ana njaa ndo ikanishawishi nimsaidie na ni kweli alionekana ana njaa,na niliplan kumfanyia mengine zaidi. Na si kwamba mamake hanifahamu...ananifahamu. Kwanini maskini ukimpa kitu cha bure anahisi ni mtego na ukimwambie akilipie anaona ni gharama au unataka umuibie!? Nimelishangaa sana hili.
hanakwahanaShule ya msingi ulisoma..?
Shule ya msingi ulisoma..?
Iko hivi,maskini anajiongezea umaskini kwa imani yake mbovu,fikiria mganga wa kienyeji,huyu ni mtafutaji kama alivyo chinga,muha,mama ntilie,ama mangi kiduka,na kawaida mganga hufuatwa kama alivyo mangi kiduka,ama muha kahawa,kashata na urembo.Labda cjui km mimi ndo nimefanya makosa
Ulikuwa sahihi kutaka kuwasaidia. Ungeweza kuwapa watoto hela ya kununua chips wala huyo mama asingestuka. Umekuwa muungwana na kuwapa chakula na zaidi yeye anaamini unataka kuchukua nyota yake! Nyota gani aliyonayo ambayo ikichukuliwa itamuathiri? Hizi imani za kijinga kwa kweli zinatuharibia sana. Utasikia ukimpa mtu anayekuomba pesa mkononi mwake ataondoka na nyota yako! Kwa kweli tuna safari ndefu.Kuna mtoto wa jirani mtaa wa pili kamezoea kila nikipita kakiniona lazima kanipungie, japo hajawai kuniona ana kwa ana basi tu hivyo.
Kakiona gari kanaikimbilia na kuipungia. Sasa leo nimepita kwa mguu nilivokaona nikakaita, nikamuuliza jina na ufaham wa hapa na pale. Lakini kakaniomba hela kakadai kana njaa hawajala, mama yao kaenda kwenye kibaruani (ni mtoto km miaka minne ivi).
Basi nikamuita mkubwa wake ambae ana umri km miaka 8,9 ivi nikaenda nako dukani nikamuemelea mchele, sukari, mafuta, chumvi, na mahitaji muhimu ya kula. Nikampandisha kwenye boda ninaemfahamu na kunifahamu akampereka nyumbani.
Nashangaa boda huyo ananipigia simu eti kamkuta mamake mtoto karudi yuko nyumbani, amekataa kupokea huo mzigo eti siku izi watu wanachukua nyota za watu kupitia misaada izo, kanamwambia boda arudi navyo.
Kwaio ananihisi huo msaada wangu una lengo lake.
Kwa mazingira ya hiyo familia na hivyo huyo mtoto alivyonambia ana njaa ndo ikanishawishi nimsaidie na ni kweli alionekana ana njaa,na niliplan kumfanyia mengine zaidi. Na si kwamba mamake hanifahamu, ananifahamu.
Kwanini maskini ukimpa kitu cha bure anahisi ni mtego na ukimwambie akilipie anaona ni gharama au unataka umuibie!?
Nimelishangaa sana hili.
𤣠HayaHiko mwanzoniš
SawaAlafu tafuteni ela pia
Itakuwa arisoma MEMKWAShule ya msingi ulisoma..
Ni kweri mahana anahandika hutumbo..Itakuwa arisoma MEMKWA