Imani ya Bunge haiwezi kujengwa chini ya Tulia Ackson

Imani ya Bunge haiwezi kujengwa chini ya Tulia Ackson

Kama hizo sifa unazompa Tulia ni za kwake kweli basi anafaa kukalia hiyo nafasi.
Hatutaki mtu anayekubaliana na Kila kitu.
Samiah sio malaika kwamba awe sahihi kwa kila jambo bila kukutana na mawazo mbadala!
 
Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais...
Tatu Tulia amekuwa aki provoke Mawaziri na wabunge walio nje ya kundi lao wakati wa vikao vya bunge na kuwapa credit wale walio katika kundi lao almaarufu "Sukuma Gang".

Nne Kundi la upinzani kwa Rais Samia bungeni almaarufu kama Sukuma Gang linamtegemea Tulia kama muhimili wao katika kujiimarisha kuelekea 2025 baada ya Ndugai kufurushwa
 
Tano Tulia hajawahi kujivunia kuwa na Rais Mwanamke. Tangu Samia aingie madarakani tulia is upset hatujui sababu ni msiba ule au ana conflict binafsi na Madam President

Vipimo vya uzani, vinakataa kuwa Tulia anaweza kubahatika kuwa kiongozi kwenye muhimili wa Bunge ama Spika ama kuendelea kuwa Naibu baada ya hili sakata la boss wake ambaye yeye ni mtu wa jikoni kabisa
 
Tulia anafaa kuwa spika, au hata nafasi ya waziri mkuu inamfaa.
 
Tulia anafaa kuwa spika, au hata nafasi ya waziri mkuu inamfaa.

Watanzania shida yetu tuna abudu majina ya watu badala ya ability. Kwani huyo Tulia tangu yupo bungeni Kama naibu speaker kuna Jambo gani la maana kafanya.

Tozo zimepitia huko na wabunge haramu wamepitia kwake. Halafu Leo awe speaker wa kazi gani?. Naye angejiuzulu tu hana la maana. Tunahitaji mtu smart na brilliant kutoka nje ya bunge.
 
Tulia ni tatizo hata kuliko Ndugai. Alie mwuita bibKidude hajakosea
 
Umemsagia kunguni wa kutosha kikaango kizima[emoji23] Bi mkubwa anapitaga huku.. Ngoja akaitishe faili lake
Sio kinguni ni fact
Yeye anajua yuko kundi gani
Anaweza kuwa anajua kwanini hakuchagua upande wa Mama
 
yani tena huyu cheusi ndiyo hatari sana inshort bunge litaendelea kunajisiwa na serikali mpaka damu damu itoke.

Katiba mpya pekee ndiyo suluhisho la huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom