Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hoja zingine ni mufilisi kabisa.Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya bunge.
Tatu Tulia amekuwa aki provoke Mawaziri na wabunge walio nje ya kundi lao wakati wa vikao vya bunge na kuwapa credit wale walio katika kundi lao almaarufu "Sukuma Gang".
Nne Kundi la upinzani kwa Rais Samia bungeni almaarufu kama Sukuma Gang linamtegemea Tulia kama muhimili wao katika kujiimarisha kuelekea 2025 baada ya Ndugai kufurushwa
Tano Tulia hajawahi kujivunia kuwa na Rais Mwanamke. Tangu Samia aingie madarakani tulia is upset hatujui sababu ni msiba ule au ana conflict binafsi na Madam President
Vipimo vya uzani, vinakataa kuwa Tulia anaweza kubahatika kuwa kiongozi kwenye muhimili wa Bunge ama Spika ama kuendelea kuwa Naibu baada ya hili sakata la boss wake ambaye yeye ni mtu wa jikoni kabisa.
Vipimo vinasoma chini ya uzani wa wastani.
Rais Samia 2025
KAZI IENDELEE
Aletwe kutoka Zanzibar, Sasa tumeamuaNatamani spika atoke nje ya Bunge, katiba inaruhusu.
Mshana, huu utaratibu wa kuchangia hoja kwa kukopi hoja ya mtu unakera. Maadili ya uandishi hayaruhusu hii kitu. Ni total plagiarism. Unaweza kufanya vizuri zaidi. Wewe ni mkongwe hapa. Kama umependa mchango wa mtu basi like tu usonge mbele.Tano Tulia hajawahi kujivunia kuwa na Rais Mwanamke. Tangu Samia aingie madarakani tulia is upset hatujui sababu ni msiba ule au ana conflict binafsi na Madam President
Vipimo vya uzani, vinakataa kuwa Tulia anaweza kubahatika kuwa kiongozi kwenye muhimili wa Bunge ama Spika ama kuendelea kuwa Naibu baada ya hili sakata la boss wake ambaye yeye ni mtu wa jikoni kabisa
Bibi saramareku.Watu wanashindana kufanya mema sio maovu.
Hivi Ana mume?Kimsingi alishiriki uovu mwingi tu alioufanya boss wake, nimatarajio kuwa kilichotokea ni somo tosha, na hata covid19 atajitenga nao iwapo akamrithi boss wake.
Mwache mimi nimemruhusuMshana, huu utaratibu wa kuchangia hoja kwa kukopi hoja ya mtu unakera. Maadili ya uandishi hayaruhusu hii kitu. Ni total plagiarism. Unaweza kufanya vizuri zaidi. Wewe ni mkongwe hapa. Kama umependa mchango wa mtu basi like tu usonge mbele.
Spika lazima atokane na CCM ni nafasi vyeti hawezi kupewa mtu from ni whereNashauri nafasi ya Spika itangazwe wenye sifa waombe maana Spika siyo lazima atokane na wabunge.Naamini kuna watanzania wazuri zaidi wa kuweza kuliongoza hilo bunge.Mungu ibariki Tanzania.
Naibu kamroga spika, makamu kamroga raisi- chalamilaHii ni sababu anakaimu kiti hadi Spika apatikane
Niko ndani kabisa hawezi kuwa Spika mark my words
Sawa mkuu. Lakini si kwako tu, yeye akipendezwa na mchango fulani hukopi na kupaste kama vile yeye ndiye kaandika. Unakuta baadhi yetu tunakerwa kusoma kitu kilekile kwa mchangiaji mwingine. Nimemshauri akiweza a "like" au a "quote" kisha aweke mchango wake pale.Mwache mimi nimemruhusu
ZunguSpika ni Andrea Chenge
Inaitwa kukazia maarifaSawa mkuu. Lakini si kwako tu, yeye akipendezwa na mchango fulani hukopi na kupaste kama vile yeye ndiye kaandika. Unakuta baadhi yetu tunakerwa kusoma kitu kilekile kwa mchangiaji mwingine. Nimemshauri akiweza a "like" au a "quote" kisha aweke mchango wake pale.