chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Tulia is a hopelessly arrogantly poorly cooked politician
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waendelee kung'atana hadi watakapo tambua umuhimu na haja ya kuurejelea mchakato was katiba mpya ya wananchi.
Tutaelewana TU Hadi kieleweke.Na katiba mpya hawawezi kuikubali mkuu, maana tu Tutaanza kuanzia nyerere katiba lazima iondoe Kinga kw raisi, spika, jaji mkuu... kwahiyo hawawezi kujubali maana tutafukua makaburi na wataishia jela
Kumbe cheo cha Spika ni kwa ajili ya maslahi ya Rais na si maslahi ya wananchi?Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya bunge.
Tatu Tulia amekuwa aki provoke Mawaziri na wabunge walio nje ya kundi lao wakati wa vikao vya bunge na kuwapa credit wale walio katika kundi lao almaarufu "Sukuma Gang".
Nne Kundi la upinzani kwa Rais Samia bungeni almaarufu kama Sukuma Gang linamtegemea Tulia kama muhimili wao katika kujiimarisha kuelekea 2025 baada ya Ndugai kufurushwa
Tano Tulia hajawahi kujivunia kuwa na Rais Mwanamke. Tangu Samia aingie madarakani tulia is upset hatujui sababu ni msiba ule au ana conflict binafsi na Madam President
Vipimo vya uzani, vinakataa kuwa Tulia anaweza kubahatika kuwa kiongozi kwenye muhimili wa Bunge ama Spika ama kuendelea kuwa Naibu baada ya hili sakata la boss wake ambaye yeye ni mtu wa jikoni kabisa.
Vipimo vinasoma chini ya uzani wa wastani.
Rais Samia 2025
KAZI IENDELEE
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..."niko ndani kabisa"... haka kamsemo kanataka kuwa msamiati sasa!Hii ni sababu anakaimu kiti hadi Spika apatikane
Niko ndani kabisa hawezi kuwa Spika mark my words
Kumbe mama una Tshirt la kijani umelivaa kabisa!Ndio upeo wako ulipoishia.
Ndugai alishapeleka deni na tozo zikajadiliwa bungeni na zikapitishwa, kiranga gani kilichomtuma azipeleke hoja hizo kwa wagogo wenzanke? Tunasema "Kiranga komo".
Tunawafahamu mna "fever ya 2025".
Watu walimchafua au alijichafua mwenyewe!Wampe mzee Chenge, pamoja na watu kumchafua sana huko nyuma ila ni moja ya hazina tuliyonayo.
Kashfa ipi? TajaWatu walimchafua au alijichafua mwenyewe!
Lakini waTz wa ajabu sana!
Tayari kashifa zote zile alizozifanya kwa kiburi cha uanasheria, tayari mmekwisha kusahau!
Mara hii mmeshaanza kampeni ya kulisafisha joka la makengeza lililochafuka kwa kujichafua lenyewe!
Makubwa!
Mkuu si nitajaza sever kwa kashifa za huyo mtu ambazo hazijawahi kusafishwa!Kashfa ipi? Taja
Naona Tulia hafai kuwa speaker hana hivo vigezoHii ni sababu anakaimu kiti hadi Spika apatikane
Niko ndani kabisa hawezi kuwa Spika mark my words
Yule mzee yuko smart na huwa hanaga mihemko very maturedWampe mzee Chenge, pamoja na watu kumchafua sana huko nyuma ila ni moja ya hazina tuliyonayo.